Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Mkuu,hatuna chetu,for Tanzania and the World it is simply over. Kwa wale wanaojua what is going on at Davos behind the curtain,they know what I am talking about.It's all about depopulation(eugenics),human control and domination,wala hawana nia njema na Wanadamu,ni unafiki mtupu.End game?Total human control and domination,not later than 2025.Ni ushetani mtupu unaoendelea Davos.

Magufuli was right not to attend the meetings.Huyu mama ni mtu wao,sisi ndio vipofu.Mtu yeyote aliyeko au aliyewahi kufanya kazi kwenye NGO sio wa kumwamini.NGOs ni tool ya mabepari kusambaza foreign policies zao za kishenzi.We should have known this.
 
Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Vyema kabisa. Watanzania wengi hawajui kwamba jina la nvhi yetu ni URT na Marekani ni USA na enzi zile Urusi ilikuwa USSR hivyo Mwalimu Nyerere kwenye UN alikuwa akisuguana mabega na viongozi wa nchi hizo. Hii inatokana na kupanga nchi kwa Alphabet.
Kumbuka tu kwamba jina la nchi yetu ni United Republic of Tanzania URT.
 
Shaka ataitisha press tutajua Tu na Kwa kuhisi baada ya USA tunafuata sie Kwa kila kitu.🙄🙄🙄
 
Vyema kabisa. Watanzania wengi hawajui kwamba jina la nvhi yetu ni URT na Marekani ni USA na enzi zile Urusi ilikuwa USSR hivyo Mwalimu Nyerere kwenye UN alikuwa akisuguana mabega na viongozi wa nchi hizo. Hii inatokana na kupanga nchi kwa Alphabet.
Kumbuka tu kwamba jina la nchi yetu ni United Republic of Tanzania URT.
Good
 
Mkuu,hatuna chetu,for Tanzania and the World it is simply over. Kwa wale wanaojua what is going on at Davos behind the curtain,they know what I am talking about.It's all about depopulation(eugenics),human control and domination,wala hawana nia njema na Wanadamu,ni unafiki mtupu.End game?Total human control and domination,not later than 2015.Ni ushetani mtupu unaoendelea Davos.

Magufuli was right not to attend the meetings.Huyu mama ni mtu wao,sisi ndio vipofu.Mtu yeyote aliyeko au aliyewahi kufanya kazi kwenye NGO sio wa kumwamini.NGOs ni tool ya mabepari kusambaza foreign policies zao za kishenzi.We should have known this.
Naona mpaka sasa hivi Covid imeuwa takriban watu milioni tano duniani kote.......
kama huu nao ulikuwa mpango wao wa depopulation.......
bado haujakaa sawa.....
manake duniani kote tunakadiriwa kuwa watu bilioni 7
 
Bado unahitaji kujifunza sana mkuu,kinachoua sio Covid ni Covid vaccine.
 
Bado unahitaji kujifunza sana mkuu,kinachoua sio Covid ni Covid vaccine.
Records zinasema watu milioni tano wamefariki kwa ugonjwa wa corona usipindue taarifa......
hakuna sehemu imetaja covid vaccine!!?
 
Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).
Kama ni hivyo kwa nini United Kingdom inakuwa mbali hivyo na sisi? Maana kama alphabet zinaanza kwa Samia basi UK alipaswa kuwa kulia kwa Samia!
 
Naona mpaka sasa hivi Covid imeuwa takriban watu milioni tano duniani kote.......
kama huu nao ulikuwa mpango wao wa depopulation.......
bado haujakaa sawa.....
manake duniani kote tunakadiriwa kuwa watu bilioni 7
Mpaka sasa tupo 7.8 billion and they want to get òf 7.3 billion. Mkuu tutaona vifo katika viwango ambavyo hatujawahi kuona!Tayari Ulaya watu wanakufa sana,na wanakiri vifo vimeongezeka sana baada ya chanjo.Mchezo ndio umeanza.

Mwisho nakushauri úpate taarifa zako from the right sources,taarifa zako unazipata from the wrong sources.

Fuata the following link ujue how.
 
Mpaka sasa tupo 7.8 billion and they want to get òf 7.3 billion. Mkuu tutaona vifo katika viwango ambavyo hatujawahi kuona!Tayari Ulaya watu wanakufa sana,na wanakiri vifo vimeongezeka sana baada ya chanjo.Mchezo ndio umeanza.

Mwisho nakushauri úpate taarifa zako from the right sources,taarifa zako unazipata from the wrong sources.
Sources zangu hazina mashaka......
manake huwa nacompare
 
Kuna watu n majinga yalifikir kuwa tumekaa karibu na US kwa sababu ya ushawishi wetu kwa sasa Hapana Hiyo n Alphabet tu hamuon hata bendera zetu znafatana UN kule wote tunapangwa as equally Hakuna mkubwa wala mdogo
 
Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
https://www.un.org › about-us › me..
Member States - the United Nations

For any changes in the name of the country, or its membership details, please follow the link on the Member State. ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVYZ

For example:

United Arab Emirates​

Date of Admission: 09-12-1971

United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland​

Date of Admission: 24-10-1945

United Republic of Tanzania

Date of Admission: 14-12-1961

United States of America​

Date of Admission: 24-10-1945

Uruguay​

Date of Admission: 18-12-1945
 
Inamaanisha kwa Sasa sisi Ni donor kantreeeeeee,USA itegemee kupata msaada wa kifedha kutoka kwetu.
Mnaota nyinyi amken amken amken
Yan USA ambayo ni moja ya mataifa makubwa kwenye sekta karibia zote iko vizuri afu Tanzania ambayo ni inaendelea itoe msaada USA ladba msaada wa mali gafi.
 
Nimechekaaaa donner country
Katika mambo ya tabia nchi Tanzania ni donner country tunapeleka wataalamu huko duniani.

Ashukuriwe mwanasayansi nguli Prof Mark Mwandosya kutoka UDSM

Ashukuriwe mchumi mbobezi Prof Haroun Lipumba kutoka UDSM

Ashukuriwe mbobezi wa Finance Prof Mussa Assad kutoka UDSM
 
Sources zangu hazina mashaka......
manake huwa nacompare
Hapana mkuu,kama unapata taarifa zako kutoka serikalini a.k.a Wizara ya Afya,au mainstream media,taarifa hizo sío äuthentic.Fuata link ifuatäyo uone jinsi ya kupata taarifa sahihi za ukweli.

Back
Top Bottom