Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Ni sit tu kama ilivyo kwenye daladala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe swali lako hili lina manufaa gani kwa maendeleo yako na Tanzania..?Ulilolihoji hapa lina manufaa gani kwa Maendeleo ya Watanzania na Ustawi wake Kiujumla?
Mkuu,hatuna chetu,for Tanzania and the World it is simply over. Kwa wale wanaojua what is going on at Davos behind the curtain,they know what I am talking about.It's all about depopulation(eugenics),human control and domination,wala hawana nia njema na Wanadamu,ni unafiki mtupu.End game?Total human control and domination,not later than 2025.Ni ushetani mtupu unaoendelea Davos.Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Vyema kabisa. Watanzania wengi hawajui kwamba jina la nvhi yetu ni URT na Marekani ni USA na enzi zile Urusi ilikuwa USSR hivyo Mwalimu Nyerere kwenye UN alikuwa akisuguana mabega na viongozi wa nchi hizo. Hii inatokana na kupanga nchi kwa Alphabet.Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Hatari snInamaanisha kwa Sasa sisi Ni donor kantreeeeeee,USA itegemee kupata msaada wa kifedha kutoka kwetu.
GoodVyema kabisa. Watanzania wengi hawajui kwamba jina la nvhi yetu ni URT na Marekani ni USA na enzi zile Urusi ilikuwa USSR hivyo Mwalimu Nyerere kwenye UN alikuwa akisuguana mabega na viongozi wa nchi hizo. Hii inatokana na kupanga nchi kwa Alphabet.
Kumbuka tu kwamba jina la nchi yetu ni United Republic of Tanzania URT.
Aisee!!??Totoz
Naona mpaka sasa hivi Covid imeuwa takriban watu milioni tano duniani kote.......Mkuu,hatuna chetu,for Tanzania and the World it is simply over. Kwa wale wanaojua what is going on at Davos behind the curtain,they know what I am talking about.It's all about depopulation(eugenics),human control and domination,wala hawana nia njema na Wanadamu,ni unafiki mtupu.End game?Total human control and domination,not later than 2015.Ni ushetani mtupu unaoendelea Davos.
Magufuli was right not to attend the meetings.Huyu mama ni mtu wao,sisi ndio vipofu.Mtu yeyote aliyeko au aliyewahi kufanya kazi kwenye NGO sio wa kumwamini.NGOs ni tool ya mabepari kusambaza foreign policies zao za kishenzi.We should have known this.
Bado unahitaji kujifunza sana mkuu,kinachoua sio Covid ni Covid vaccine.Naona mpaka sasa hivi Covid imeuwa takriban watu milioni tano duniani kote.......
kama huu nao ulikuwa mpango wao wa depopulation.......
bado haujakaa sawa.....
manake duniani kote tunakadiriwa kuwa watu bilioni 7
Records zinasema watu milioni tano wamefariki kwa ugonjwa wa corona usipindue taarifa......Bado unahitaji kujifunza sana mkuu,kinachoua sio Covid ni Covid vaccine.
Kama ni hivyo kwa nini United Kingdom inakuwa mbali hivyo na sisi? Maana kama alphabet zinaanza kwa Samia basi UK alipaswa kuwa kulia kwa Samia!Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).
Mkiambiwa CCM mazuzu mnakataa, na Xi Jing Ping nae asemeje? Kiduku?
Mpaka sasa tupo 7.8 billion and they want to get òf 7.3 billion. Mkuu tutaona vifo katika viwango ambavyo hatujawahi kuona!Tayari Ulaya watu wanakufa sana,na wanakiri vifo vimeongezeka sana baada ya chanjo.Mchezo ndio umeanza.Naona mpaka sasa hivi Covid imeuwa takriban watu milioni tano duniani kote.......
kama huu nao ulikuwa mpango wao wa depopulation.......
bado haujakaa sawa.....
manake duniani kote tunakadiriwa kuwa watu bilioni 7
Sources zangu hazina mashaka......Mpaka sasa tupo 7.8 billion and they want to get òf 7.3 billion. Mkuu tutaona vifo katika viwango ambavyo hatujawahi kuona!Tayari Ulaya watu wanakufa sana,na wanakiri vifo vimeongezeka sana baada ya chanjo.Mchezo ndio umeanza.
Mwisho nakushauri úpate taarifa zako from the right sources,taarifa zako unazipata from the wrong sources.
https://www.un.org › about-us › me..Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Mnaota nyinyi amken amken amkenInamaanisha kwa Sasa sisi Ni donor kantreeeeeee,USA itegemee kupata msaada wa kifedha kutoka kwetu.
Katika mambo ya tabia nchi Tanzania ni donner country tunapeleka wataalamu huko duniani.Nimechekaaaa donner country
Hapana mkuu,kama unapata taarifa zako kutoka serikalini a.k.a Wizara ya Afya,au mainstream media,taarifa hizo sío äuthentic.Fuata link ifuatäyo uone jinsi ya kupata taarifa sahihi za ukweli.Sources zangu hazina mashaka......
manake huwa nacompare