Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Kwenye umoja wa mataifa wanapanga kwa kuzingatia alphabetical orders. Kwa mantiki hiyo US na URT lazima wakae pamoja
Ndiyo maana hatuwezi kukubali uvurugaji wa muungano wetu. Faida mojawapo ni hii. Ndiyo, vinginevyo Nipinge kwa hoja.
 
Hata ukikikaa katikakati ya
Ndiyo maana hatuwezi kukubali uvurugaji wa muungano wetu. Faida mojawapo ni hii. Ndiyo, vinginevyo Nipinge kwa hoja.
US na UK kama huna uwezo wa kufanya lobbying ni kazi bure....zaidi zaidi utatumiwa tu
 
Bora mmetufumbua macho maana chadema walishaanza uzushi eti Joe alituma na ya kutolea.
 
Balozi Mahiga akiwa Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa New York

1635872957185.png
 
Yuko hapo kwasababu tu ya herufi zinafatana. Yani URT(United Republic of Tanzania) na USA.
 
Wewe mganga wa kienyeji matunguri yameharibu ufahamu wako unatapika upupu tu wa conspiracies.
Mkuu,hatuna chetu,for Tanzania and the World it is simply over. Kwa wale wanaojua what is going on at Davos behind the curtain,they know what I am talking about.It's all about depopulation(eugenics),human control and domination,wala hawana nia njema na Wanadamu,ni unafiki mtupu.End game?Total human control and domination,not later than 2025.Ni ushetani mtupu unaoendelea Davos.

Magufuli was right not to attend the meetings.Huyu mama ni mtu wao,sisi ndio vipofu.Mtu yeyote aliyeko au aliyewahi kufanya kazi kwenye NGO sio wa kumwamini.NGOs ni tool ya mabepari kusambaza foreign policies zao za kishenzi.We should have known this.
 
Au Tanzania ni ya pili kwa utajiri baada ya US.

Mleta mada fuatilia zaidi, huenda Samia akiwa mkutanoni alienda chooni baada ya Biden ili utuletee tujadili maana yake.
Ahsante mkuu, bila shaka mleta mada atakuwa ameelewa jibu sahihi hili, vinginevyo asingeanzisha mada ya namna hii.
 
Ulilolihoji hapa lina manufaa gani kwa Maendeleo ya Watanzania na Ustawi wake Kiujumla?
Watatuambia Demokrasia imepanda mama chief amepangwa kukaa na Joe.

Usije kushangaa akirudi watu wsende kumpongeza kukaa jirani na Joe
 
Back
Top Bottom