nothing spiritual there, it's just some belief and psychology on how you take that thing.Habari zenu Wana jf
🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu
🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage)
Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu tofauti ..
📌Kutema mate kwenye msiba hairuhusiwi ata harufu ikuchefue
📌Udogo uliochimbwa kutengeneza kaburi ni lazima wote urudi kumfukia marehemu iwe Kuna... jiwe... kijiti ...mfupa ...au plastiki hamna kitu kinachoachwa bila kufukiwa tena...
.
📌Marufuku kuvuka kaburi au kunyoosha kidole
📌Ukianguka kwenye shimo la kaburi muda mwili unashushwa ni sharti ufukiwe na ww
(Hizi ni Imani TU au kuna ukwli ndani yake?!)
🔴Kwanini nimeshindwa kula?!
Anyway RIP Amaria🕊️
12.2.2026
😳😳😳Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
Kilichokufanya utoe macho ni nini
Bia msibaniKilichokufanya utoe macho ni nini
Misiba mingi Ina bia siku hizi huko kwenu huoni?Bia msibani
MkuuHabari zenu Wana jf
🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu
🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage)
Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu tofauti ..
📌Kutema mate kwenye msiba hairuhusiwi ata harufu ikuchefue
📌Udogo uliochimbwa kutengeneza kaburi ni lazima wote urudi kumfukia marehemu iwe Kuna... jiwe... kijiti ...mfupa ...au plastiki hamna kitu kinachoachwa bila kufukiwa tena...
.
📌Marufuku kuvuka kaburi au kunyoosha kidole
📌Ukianguka kwenye shimo la kaburi muda mwili unashushwa ni sharti ufukiwe na ww
(Hizi ni Imani TU au kuna ukwli ndani yake?!)
🔴Kwanini nimeshindwa kula?!
Anyway RIP Amaria🕊️
12.2.2026
Ni kweliUdongo unaorudishwa kaburini hurudi kwa shinikizo kubwa hivyo kusababisha mgandamizo mkubwa kati ya chembe moja ya udongo na nyingine, hivyo hata kama jeneza limeingia udongo wote unaingia , na hata siku zikipita ule mgandamizo unaongezeka na kaburi linaweza kutitia na udongo kuonekana kupelea kabisa.
Pole kwa msiba😥
Vp mremboHii ya kuangukia kaburini na kufukiwa ni uongo, sijui kwa makabila mengine. Ila kwetu utaondolewa humo, na itaingizwa maiti pekee.
Hivyo vingine ni sawa tyuu.
Mimi na ukubwa wangu huu nilikuwa natoka nduki nahisi km ananifuata kila nokipita karibu na kaburi lakeMsiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida