Wataalamu wa spiritual life sogelea hapa

Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
😂😂😂Jamn
 
Kuogopa maiti ''Necrophobia'' hutokana na wewe kujikumbusha kua hata wewe ni maiti mtarajiwa it's unavoidable reminder of our own mortality,maiti humkumbusha aliye hai kua kifo hakizuwiliki inevitable death,Pale akili yako huelewa kua ipo siku na wewe utakua maiti kama maiti unayoiona kwa wakati huo hapo mbele yako,uoga huo hukutengenezea Profound anxiety,

Dead body acts as an reminder of one's own mortality and the inevitable end of life.
 
Sijui kwanini sikuhizi siogopi kufa kabisa hata nikisikia mtu kafariki nakuwa na najisemeaga ameanza maisha mengine Mshana Jr niko sawa au kuna something haiko sawa
 
Hiyo ni issue ya kisaikolojia tu,huyo uliyemtag sana sana atakuletea story za kufikirika za ushirikina coz anajua wabongo wengie hukamatika kirahisi kwenye issue za namna hiyo,

Unaweza usiogope kifo kwa sababu mbali mbali tu,mfano umri mkubwa,Imani ya kidini,kujihisi umeshaishi maisha yako tayari Feeling of having lived fully,sometimes mtu anaweza akawa na stress na akaona death is the only way of escaping from suffering,ndio maana kuna watu hua wanajiua.
 
Ok sawa nimeelewa
 
Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
🤣🙌
 
Back
Top Bottom