Wataalamu wa spiritual life sogelea hapa

Kwanini nimeshindwa kula?!
Wanasemaga sio mimi nimesema wanasemaga baada ya kuoshwa yale maji huchukuliwa ndio hutumiwa kwenye shughuli za msosi na usipokula watu wakijua yakikukuta kwako pia nao hawali, sio mimi nimesema wanasemaga hivyo kwa hio jiongeze hapo
 
Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
Tuko pamoja, msiba wa mwisho kuhudhuria tulisafiri tukafikisha mwili safari kulala lodge full AC, asubuhi tukaamkia msibani tukiwa tumevalia magauni yetu mazuri na tunanukia..!!

Msiba ukiwa wa nyumbani tunalia huku tunalewa kukazia uchungu..

Bibi yangu alivyofariki tuliambiwa wajukuu tukamuogeshe na tulimuogesha huku tunamtania maneno yake aliyokua anapenda kutamka akiwa hai kwa vicheko.!!

Kuna msiba wa katibu wa veggies mmoja alifariki malaya hatari ana watoto kila wilaya jijini. Tulimsengenya na hivi alikanyaga miwaya na wimbo tukamtungia na tukamuimbia siku ya mazishi jirani zake..!! 😹😹
 
Pole sana mkuu.

ILa maswali yako uliyouliza ni wewe kuamua ukisema hivi vitu havipo havitakuwepo, ukikubali hizo dhana utaona zinamake sense pia.

Kazi kwako
 
Siku hizi misiba siichukulii siriaz kivileeee, bia na kunywa chochote nafanya kulingana na vibe la wafiwa husika
Tuko pamoja, msiba wa mwisho kuhudhuria tulisafiri tukafikisha mwili safari kulala lodge full AC, asubuhi tukaamkia msibani tukiwa tumevalia magauni yetu mazuri na tunanukia..!!
Msiba ukiwa wa nyumbani tunalia huku tunalewa kukazia uchungu..
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Bibi yangu alivyofariki tuliambiwa wajukuu tukamuogeshe na tulimuogesha huku tunamtania maneno yake aliyokua anapenda kutamka akiwa hai kwa vicheko.!!
Umenichekesha sana hapa..

Kuna msiba wa katibu wa veggies mmoja alifariki malaya hatari ana watoto kila wilaya jijini. Tulimsengenya na hivi alikanyaga miwaya na wimbo tukamtungia na tukamuimbia siku ya mazishi jirani zake..!! 😹😹
 
Wanasemaga sio mimi nimesema wanasemaga baada ya kuoshwa yale maji huchukuliwa ndio hutumiwa kwenye shughuli za msosi na usipokula watu wakijua yakikukuta kwako pia nao hawali, sio mimi nimesema wanasemaga hivyo kwa hio jiongeze hapo
Yawwza kuwa kweli haya maneno
 
Back
Top Bottom