Kilichokushinda kupitisha chakula kwenye koo ni nini?Nakula vizzuri tu
Wanasemaga sio mimi nimesema wanasemaga baada ya kuoshwa yale maji huchukuliwa ndio hutumiwa kwenye shughuli za msosi na usipokula watu wakijua yakikukuta kwako pia nao hawali, sio mimi nimesema wanasemaga hivyo kwa hio jiongeze hapoKwanini nimeshindwa kula?!
Maringo au siyo...Sijajua bado
Tuko pamoja, msiba wa mwisho kuhudhuria tulisafiri tukafikisha mwili safari kulala lodge full AC, asubuhi tukaamkia msibani tukiwa tumevalia magauni yetu mazuri na tunanukia..!!Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
Tuko pamoja, msiba wa mwisho kuhudhuria tulisafiri tukafikisha mwili safari kulala lodge full AC, asubuhi tukaamkia msibani tukiwa tumevalia magauni yetu mazuri na tunanukia..!!
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪Msiba ukiwa wa nyumbani tunalia huku tunalewa kukazia uchungu..
Umenichekesha sana hapa..Bibi yangu alivyofariki tuliambiwa wajukuu tukamuogeshe na tulimuogesha huku tunamtania maneno yake aliyokua anapenda kutamka akiwa hai kwa vicheko.!!
Kuna msiba wa katibu wa veggies mmoja alifariki malaya hatari ana watoto kila wilaya jijini. Tulimsengenya na hivi alikanyaga miwaya na wimbo tukamtungia na tukamuimbia siku ya mazishi jirani zake..!! 😹😹
Yawwza kuwa kweli haya manenoWanasemaga sio mimi nimesema wanasemaga baada ya kuoshwa yale maji huchukuliwa ndio hutumiwa kwenye shughuli za msosi na usipokula watu wakijua yakikukuta kwako pia nao hawali, sio mimi nimesema wanasemaga hivyo kwa hio jiongeze hapo
SijaonaMisiba mingi Ina bia siku hizi huko kwenu huoni?
Dark spiritsNini kiliwekwa ?! Nijuze
AsantePole sana mkuu
AsantePole sana mkuu
Yh we learn from mistakes alsoIla ndo ivyo hatuwezi kuwa makini asilimia mia😐💔