Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Uliziona hizo roho??Roho huwa haifi na wapendwa wetu wapo kwenye circle za maisha yetu pia kiroho mm naamini hivo
Uliziona hizo roho??Roho huwa haifi na wapendwa wetu wapo kwenye circle za maisha yetu pia kiroho mm naamini hivo
😄😄Ndio mara yako ya kwanza kuhudhuria mazishi??
Kutema mate sio good manner maana mnakuwa watu wengi huwezi kutema mate hovyo
Anyway mazishi ya uislamu hua yanatisha sana bora wakristo
Huwezi kuamini kwangu mimi ni tofauti nimeanza kuwa muoga sana.. Ni mabadiliko ya kihisia yasiyozuilikaSijui kwanini sikuhizi siogopi kufa kabisa hata nikisikia mtu kafariki nakuwa na najisemeaga ameanza maisha mengine Mshana Jr niko sawa au kuna something haiko sawa
Uko sahihi kipenziRoho huwa haifi na wapendwa wetu wapo kwenye circle za maisha yetu pia kiroho mm naamini hivo
kumbe nawew ni kaongeaji iv..Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
Kinachokufa ni mwili uharibikaoRoho huwa haifi na wapendwa wetu wapo kwenye circle za maisha yetu pia kiroho mm naamini hivo
Tofauti, mfanano wa pepo na peponi | JamiiForums Tofauti, mfanano wa pepo na peponiRoho huwa haifi na wapendwa wetu wapo kwenye circle za maisha yetu pia kiroho mm naamini hivo
Okay oky asante💔💔
Dada ni heshima kama ubinadamu kuaaga waliowafu
Lakini tofauti na hapo hakuna kinachoanganikana na dunia kupitia yule mtu wala hakuna chcchote cha kiroho kinachoendana na tukio loloye utakalo fanysa mbele ya mwili au kaburi
Hayo ni MAMBO yaliwekwa kutokana na lile fumbo kali la kifo, kuogopa kifo na maiti, thus lazima maneno kama haya yanakuwepo maana kwa mwanadamu kifo ni gumzo