Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
- Thread starter
- #61
Hapo kuaga mwili naogopa dah💔Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida