Wataalamu wa spiritual life sogelea hapa

Hapo kuaga mwili naogopa dah💔
 
Asante nimepoa💙
 
Asante
 
Ndio mara yako ya kwanza kuhudhuria mazishi??
Kutema mate sio good manner maana mnakuwa watu wengi huwezi kutema mate hovyo
Anyway mazishi ya uislamu hua yanatisha sana bora wakristo
Sio mara ya kwanza au ya pili
 
Asante 💙Magere
 
Itabidi nianze kuaga maiti nikubali uhalisia
 
usipende kushiriki misiba ovyo pasipo kumjua aliyefariki, ukisikia msiba wewe unaanza kutafuta ndizi acha kabisa ni hatari
 
Daaah bia tena sis, 😂
 
Moshi misiba ni fashion, unless uwe umefiwa wewe. Sare, mziki mkubwa, buffet set kuanzia mbili, mwili kushushwa kaburini na machines.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…