Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sisi tulioweka $$$ benki za hapa nyumbani tunaumia vibaya mno we acha tu.Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.
2. Mbili wanadai kuwa tumepata foreign investments mara tatu ya kiasi tulichokadiria, hii imeongeza dola nchini.
Yule mzaramo kabisa, kachanganya na undengereko..Sawa kongole kwa binti wa zamani wa kizimkazi
Wala usiwe na hofu, mwakani hali itarudi kama unavotarajia niaminiSisi tulioweka $$$ benki za hapa nyumbani tunaumia vibaya mno we acha tu.
Kwa hiyo mpaka sasa rate exchange ikoje?Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.
2. Mbili wanadai kuwa tumepata foreign investments mara tatu ya kiasi tulichokadiria, hii imeongeza dola nchini.
Hili halina shaka.Wala usiwe na hofu, mwakani hali itarudi kama unavotarajia niamini
Pole sana.Sisi tulioweka $$$ benki za hapa nyumbani tunaumia vibaya mno we acha tu.
Hapa siyo Gazza wewe. Sijui mnatumia sarafu gani? Labda terrorists currency. 🤣🤣🤣Benki kuu wameongeza interest rate kwa muda mfupi, hili suala ni la muda mfupi , dollar itapanda watu watashangaa....
Ujanja ujanja tu kuelekea 2025.
Ikishuka rudi tena,Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali.
Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.
2. Mbili wanadai kuwa tumepata foreign investments mara tatu ya kiasi tulichokadiria, hii imeongeza dola nchini.
Hii sio kweli kwa 100%.Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.