Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali.
Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.
2. Mbili wanadai kuwa tumepata foreign investments mara tatu ya kiasi tulichokadiria, hii imeongeza dola nchini.