Wataalamu wanadai hizi ndiyo sababu za Tsh kuimarika dhidi ya Dola

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.

1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali.

Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.

2. Mbili wanadai kuwa tumepata foreign investments mara tatu ya kiasi tulichokadiria, hii imeongeza dola nchini.
 
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.

Sisi tulioweka $$$ benki za hapa nyumbani tunaumia vibaya mno we acha tu.
 
Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.

1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.

2. Mbili wanadai kuwa tumepata foreign investments mara tatu ya kiasi tulichokadiria, hii imeongeza dola nchini.
Kwa hiyo mpaka sasa rate exchange ikoje?
 
Dola ya Marekani haijashuka thamani kwa Tanzania tu, bali pia kwa nchi nyingine duniani. Nimesoma mahali pia kuwa sababu nyingine ni kupunguzwa/kushushwa kwa viwango riba (interest rates) huko US, na hivyo kusababisha baadhi ya mabwanyenye wa huko kukimbiza baadhi ya akiba na au vitga uchumi vyao kutoka US kwenda nchi nyinginezo. Wataalamu wa mambo ya uchumi wanaweza kutusaidia kutoa ufafanuzi.
 
Any way,hizi janja janja za maelezo ya wataalam tutaziona siku US wakipandisha interest rates kurudi ilipokua awali.
 
Ingalikuwa Tanzania inatangaza takwimu kwa wakati sahihi, tungeshachambua na kujua sababu.

Ila kwakuwa bado hakuna takwimu, ngoja tuendelee kupiga ramli
 
Hapana. Sababu ni kwamba kwenye Kizimkazi festival wazungu wameleta dola nyingi sana.

Mwakani Kizimkazi Festival itafanyika mara 3 ili kuifanga TSh iwe sawa na US dola.
 
WENGI HAPA BADALA MMPE MAMA CREDIT MNAPONDA. HILI NI JAMBO LA KUFURAHIA NA KUMPA PONGEZI MAMA. NI HATUA NZURI KWENYE UCHUMI NA MAMA AENDELEE KUJITAHIDI KUIMARISHA ZAIDI CURRENCY YETU.
 
Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.

1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali.

Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola kwa makampuni na hoteli, na kuwa makampuni na mahoteli yalikuwa yanabana dola hizo. Utalii ni moja ya sekta kubwa sana za mauzo ya nje, so hatua hii imeongeza sana kiasi cha dola.

2. Mbili wanadai kuwa tumepata foreign investments mara tatu ya kiasi tulichokadiria, hii imeongeza dola nchini.
Ikishuka rudi tena,
 
Hii sio kweli kwa 100%.
Serikali haikufuta ada za utalii kulipwa kwa dola, bali serikali ilifuta utaratibu wa kulazimisha malipo mbali mbali hapa nchini kuwa kwa dola.
Serikali inahitaji mnoo dola kutoka nje ziingie nchini (ili ikienda nje kufanya malipo izitumie) na serikali kwa sasa haitaki kutoa dola zake kuzunguka humu humu nchini hivyo ndio hilo dhumuni la kufanya hivyo.
Mpaka leo hii na saa hii watalii kutoka nje wanalipa kwa dola. Na hilo ni rahisi kwao na habari njema zaidi kwa serikali
Mwisho kabisa, kushuka kwa dola dhidi ya shilingi ni suala la mpito na halina uhusiano wa moja kwa moja na hatua za serikali. Kitaalamu tunasema it is a nature phenomenon of the graph!
 
Back
Top Bottom