Watafsiri na wabobezi wa ndoto naomba mniambie hii inamaanisha nini?

Wazazi = Ulinzi
Watu wasio onekana = stress, msongo, vikwazo
Kufungwa miaka = usimbe, joblessness
Watoto mateka = friends cycle ambao mnashea mitizamo
Kutoroka/kukimbia = self development, self love, kujikwamua
Kutoka nnje = mwisho mzuri
Kuacha mtoto = kuto kamilisha malengo, talent,
Kurudi = second chance to get your shit together
Kushikwa mkono = wasiwasi, kutokujiamini
Conclusion : baada ya kutoka kwa wazazi na kwenda kuishi kivyako mambo mengi yametokea, so life journey ina mengi, Ila grab it by the horns and ride it. Keep dreaming.
 
Pole sana mamy.
Uko kwenye vita Kali iliyotoka kizazi kimoja kwenda kingine,,, mizimu ya mama yako iko na wewe na inapambana

1. Unaweza kusali kwa Imani yako kwa dhamira na Imani kuu kuombea hiyo vita

2. Ukiweza katembelee makaburi ya kwenu safisha na uombe kwa Imani yako

3. Unaweza kutumia mafuta ya mzeituni kupaka kwani hufukuza vitu vibaya vya kila aina.
 
Most likely nyumba ina wachawi au walikuja wachawi...

Hebu nenda hotel nzuri hivi kama Una hela kidogo ...lala hapo uone utaota ndogo gani
 
  • Asante kwa kuchukua muda wako na kunielezea kwa kirefu.
  • Asante kwa mchanganuo wa kiimani ambao umenifundisha mambo mapya na umeniacha na mengi ya kuyafikiria.
  • Asante kwa ushauri.
Nimeyapokea, ninayatafakari na nitayafanyia kazi. Shukrani sana πŸ™πŸ½
 
Nafsi yako imetekwa kuzimu
Huyo mtoto uliyenaye ni wa huko kuzimu
Na mchakato wa kujaribu kutoka nje ya geti ni inaonyesha nafsi yako ikihangaika kutafuta uhuru

Cha kufanya
Ombea Nafsi yako ikombolewa
Jitoe kwenye vifungo vya nafsi
Sawa, asante, nimelipokea na nitaomba.
 
Wow, nakushukuru sana for this πŸ™πŸ½ ninaresonate na ulichokisema.

Labda moja ya sababu nilikua nasukumwa kushare hii ndoto humu ni kuyasikia haya. Asante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…