Watakatifu ni wazungu waliokufa zamani. Waafrika waliokufa zamani eti ni mizimu

Watakatifu ni wazungu waliokufa zamani. Waafrika waliokufa zamani eti ni mizimu

Nipo hapa kwenye kanisa la Roma wanafanya harambee mchangishaji anasema kama wewe ni mwanaume kweli tuletee elf 10 hapa ukiendelea kubaki kwenye Viti tutakuangalia mara mbili mbili huku anawahadaa watu kwa kwaya nzuri
Nimekaa hapa huku naangalia misa ila huu ushawishi mkubwa unao tumika kukusanya sadaka unanipa mashaka makubwa

Sadaka nzuri n kwenda kuwapa chakula wenye njaa siyo kuwaletea Hawa wadau wanasukuma ndiga kali
Hahahahahaha unakaa unaangalia unajikuta una buku mfukoni na kwenye kiti umebak peke yako wengine wameamua kwenda kutoa hizo buku ten
 
Utakatifu ni kufuata kile Mungu anataka basi, kama Babu zako walifuata mapenz ya Mungu basi ni watakatifu ijapokuwa hawajaandikwa popote, Mizimu ni wale waliokufa ilihali wakiwa ni washirikina na katika ulimwengu wa roho wanaendeleza utawala wa kishirikina kwa waliobaki, utawala huo ukihusisha ibada za damu, kafara ya wanyama au binadamu, ukiona ibada unayoshiriki inahusisha sadaka ya damu hapo mnaabudu Mizimu na Lucifer wao.
 
Mtakatifu Mathias Mulumba wa Uganda utuombee
 
Kuwaomba mizimu ni maamuzi yako kama mtu mzima wengine tunagonga tu mtakatifu mzimu utuombee
 
Ut
Wapo Watakatifu Waafrika wengi pia wakiwemo mashahidi wafia dini wa Uganda kina Kalori Lwanga na wenzake.Shida kwa Africa Ni upatikanaji wa taarifa sahihi kwa wakati.

Hata JPM kwa kauli zake na msimamo wake juu hatua za kukabili uviko 19 na kujitoa kwake, aliokoa maisha ya wengi kwa Imani thabiti kwa Mungu.

Kigezo hicho Pekee mbali ya madhaifu yake mengine anaweza kutangazwa Mtakatifu.
Utakatifu ni utamaduni wa kikatolic, Hauna uhalisia kuwa mtakatifu maanake huna na hukuwahi kutenda dhambi kitu ambacho hakiwezekaniki.Kwa miaka mingi kanisa lili jifungamanisha na watawala waovu, na kuukumbatia utumwa na ukoloni.Hata kanisa la Leo bado linajifungamanisha na watawala hata kama Hawa tendi haki. Hakuna mtakatifu hapo Bali
Mungu mwenyewe anawajua watu wake.Sisi binaramu ni nani tuwatangaze watu utakatifu
 
NAKOMITUNAKA

THIS SONG TRANSLATED
lingala: Aee nakomitunaka
english: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Poso mwindo ewutande wapi ?
en: Where did black skin come from?
li: koko nabiso ya kala ye nani yeee?
en: who is our ancestral?
li: Yesu mwana Nzambe ye nde mondele
en: Jesus son of god is white
li: Adamu na Eva bango nde mindele
en: Adam and eve are white
li: Ba Santo niosso bango pe mindele
en: All saints are white
li: pona nini ?
en: Why is like this?
li: Aee nakomitunaka
en: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Ba buku ya Nzambe tomonaka boye
en: In the books of god this is what we see
li: Ba santo niosso foto se mindele
en: All photos of saints are white
li: Ba angelu niosso bango se mindele
en: All photos of Angels are white
li: Soki Zabulu foto moto mwindo
en: If it's a demon, the photo is of black person
li: Injustice ewuta wapi ah Mama
en: Where did this injustice come from ah mama
li: Aee nakomitunaka
en: Aee I ask myself
li: Aee nakomitunaka
en: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Poso mwindo ewutande wapi ?
en: Where did black skin come from ?
li: Bango ko bakanga bisso mayele boye
en: why do we let ourselves be dupped like this
li: bikeko ya ba koko bango ba boyaka
en: the statues of our ancestors they forbid
li: kisi ya ba koko bango ba ndimaka te
en: our ancestral medicine they don't accept
li: kasi na ndaku ya Nzambe biso to monaka
en: but what we see in churches
li: Toko sambela chapele na maboko
en: we pray with rosary in our hands
li: Toko sambela bikeko bi tondi ndaku
en: we pray with all their statues in the church
li: Kasi bikeko yango se mindele
en: but these statues are all white
li: Pona nini Nzambe?
en: Why God?
li: Aee nakomitunaka
en: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Ba prophet mindele biso to ndimaka
en: All white prophets we accept
li: kasi ya bato mwindo bango ba ndimaka te
en: but black prophets they don't accept
li: Pona nini Nzambe osala biso boye?
en: God why have you created us this way?
li: Africa misso efugwuani
en: Africa's eyes have been opened.
li: Africa tozanga sima te ah mama
en: Africa let's not go backwards ah mama
li: Aee nakomitunaka
en: Aee I ask myself
li: Aee nakomitunaka
en: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Poso mwindo ewutande wapi ?
en: Where did black skin come from ?
li: koko nabiso ya kala ye nani yeee
en: who is our ancestral?
li: Yesu mwana Nzambe ye nde mondele
en: Jesus son of god is white
li: Adamu na Eva bango nde mindele
en: Adam and eve are white
li: Ba Santo niosso bango pe mindele
en: All saints are white
li: pona nini ?
en: why?
li: Aee nakomitunaka
en: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Ba prophet mindele biso to ndimaka
en: All white prophets we accept
li: kasi ya bato mwindo bango ba ndimaka te
en: but black prophets they don't accept
li: Pona nini Nzambe osala biso boye?
en: God why have you created us this way?
li: Koko na biso bato mwindo azali wapi
en: where is our black ancestor?
li: Africa misso efugwuani
en: Africa's eyes have been opened.
li: Africa tozanga sima te ah emama
en: Africa let's not go backwards ah mama
Aee nakomitunaka
 
Mtakatifu Gemma Galigan ni mrangi wa Kondoa. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Katika Imani ya Kikristo Mtakatifu ni jina tu la kuashiria mtu mwenye nguvu ya kiroho na aliyeishi maisha yanayokaribiana na ukamilifu. Na Mzimu ni jina la Dini za Kikabila kwahiyo Mzimu na Mtakatifu ni majina yenye maana moja kwa Imani ya Kila mmoja. Sema dini za Kikabila zilitunga jina baya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom