Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

CCM hawaitendei haki Tanganyika kwa kuendelea kumuendekeza Samia
 
Ninavyo fahamu Wizara ya Uchukuzi sio ya Muungano.

Kwahiyo hao Wazanzibar hawakupaswa wahusishwe na hizo ajira za SGR

Hata kama wangeruhusiwa, ilipaswa iwe ni asilimia 4 tu

Kwahiyo asilimia 4 ya ajira 1574 zilipaswa ziwe ajira 63 tu kwaajili ya Wazanzibar na ajira 1511 zibaki Kwa Watanganyika

By the way Kwa kuwa hakuna anayesemea hayo mambo, zaidi ya Tundu Lissu basi wacha tuendelee kuliwa hadi akili ziturudie 🙌
 
Kumbe ni udini?
Mnaogopa mpaka jina?
Yusufu wako wengi sana mbeya na bara yote
Mkuu umekula lunch ?..maana njaa ikiwa inauma akili haifanyagi kazi, kwanini umeniandikia vitu ulivyoandika hapa wakati mimi nlikuwa na co-sign alichosema jamaa kuwa CG ni mtu wa mbeya na mimi nikamtaja yes jamaa sio mpemba sababu kina mwenda ni watu wa iringa, njombe na mbeya. Bwana mkubwa tatizo lake nini?
 
Vipi ZRA watanganyika ni % ngapi? Watu wachangamkie fursa huko kisiwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubia ni 50/50,yaani hapo bado mmewaonea sana, mara nne? No hii haikubaliki, muungano ni inchi kwa inchi so mgao ni nusu kwa nusu
Je, nyie Wazenji mna uwezo wa kubeba gharama zote za uendeshaji wa JMT kwa 50/50?!
Au mnavizia tu ulaji ndo mnadai hiyo 50/50?
 
Je, nyie Wazenji mna uwezo wa kubeba gharama zote za uendeshaji wa JMT kwa 50/50?!
Au mnavizia tu ulaji halafu mnadai hiyo 50/50?
Sasa mie hayo hayanihusu, wewe ndie ulitaka ubia, gharama ni zako zote, ni sawa tu na kujenga nyumba za ubia,

We umeona wapi mwenye eneo akatoa mchango, zigo lote ni la mbia aliyekuja, yaani hapa salama yenu ni muiachie tu zenji na mambo yake
 
Vipi ZRA watanganyika ni % ngapi? Watu wachangamkie fursa huko kisiwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila kilicho Chao ni chao peke yao, ila cha Tanganyika ni cha wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…