Watanganyika amkeni tujitafakari haraka ! Tunapigwa na kitu kizito

Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania. Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika
 
Wanauwawa na watanganyika wenzao

Tusitafute kuwasingizia wazanzubari
 
Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania. Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika
Zanzibar IPO au haipo?
Uchungu na maumivu yake utakutana nayo wewe au wajukuu zako 2030 na kuendelea
 
Ni kweli kuna tatizo kichwani.
How come Katiba ya Tanzania inawapa Wazanzibar haki zote huku katiba ya Zanzibar haimpi haki Mtanganyika?
Chuo kikuu cha Dar ! Kinatoa wanasheria guli Dunia ,ila kuhusu Zanzibar,hao wanasheria hawasomagi ,upande huo.

Wanasheria ni muda sasa watuambie ukweli kuhusu, Zanzibar, Tanganyika na Tanzania.
 
Zanzibar IPO au haipo?
Uchungu na maumivu yake utakutana nayo wewe au wajukuu zako 2030 na kuendelea
Tanganyika ilikufa kwa kuunda Tanzania ila Zanzibar ni sehemu ya muungano yenye special autonomy (soma kwa kuelewa special autonomy). Tanzania siyo ya kwanza kuwa na mfumo kama huo. Iko Taiwan, Hong-Kong, Wales, Scotland, Northern Ireland, Bermuda, Puerto Rico etc
 
Ni kweli kuna tatizo kichwani.
How come Katiba ya Tanzania inawapa Wazanzibar haki zote huku katiba ya Zanzibar haimpi haki Mtanganyika?
Wewe ndo umefail kuona Motive za Watanganyika wakati huo katiba inaandaliwa...usifikiri Nyerere na hao waliokuwa nae hawakuwa wazalendo kabisa...kaka chini fikiri kwa kina sio kutoa lawama tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…