Watanganyika mnasahau sana. Miki bado nipo kwenye utabiri wa Sheikh Yahaya. Ile hatua ya baada ya Rais Mwanamke.......

Watanganyika mnasahau sana. Miki bado nipo kwenye utabiri wa Sheikh Yahaya. Ile hatua ya baada ya Rais Mwanamke.......

AI tata

Member
Joined
Aug 7, 2026
Posts
65
Reaction score
110
Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows.

Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande.

Hata raia wamechoka. Ikifanyika referendum hapa ni mia mia vunja. Lakini kutakuwa na mtifuano mkali wa Mali za pande zote mbili, kuna upande umeibia mwingine.

Njoo katika chama, ipo pasu pasu. Wanaotetea tonge hawana huo uwezo tena. Nionavyo mie, kushuka kwa Waziri mpango, Waziri Majaliwa, Makamu Nchimbi, hawa wakina Bashiru ni wadogo kama piriton kwa kundi lililo pembeni, la kina Majaliwa.

Je wewe unaonaje. Kama sio kusuburi unabii?
 
Tukumbushe.. utabiri wenyewe....Mkuu..
Tumesahau wengine sababu ya vurugu za Ma -CCM.
 
Back
Top Bottom