Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Do you know what is void ab initio? Young boyThread tayari!!! Unakimbizwa?? Au unawahi wapi? Rudi uandike vizuri
Yeah, invalid since the beginning.....Do you know what is void ab initio? Young boy
Tuliza kalio na shono, subiri hukumu tar 7Yeah, invalid since the beginning.....
Unawaza makalio tu, bila shaka wanakupiga miti huko, patheticTuliza kalio na shono, subiri hukumu tar 7
Nani kakudanganya?Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Ok thank youUnawaza makalio tu, bila shaka wanakupiga miti huko, pathetic
Huna akiliNani kakudanganya?
Nani pia kakwambia Dubai haiwezi kuingia mkataba?
Mimi siukubali mkataba, mkataba una matatizo mengi.Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Mapungufu ya kisheria kama yapi mkuu?Binafsi nimekuwa nikijiuliza, kama mkataba wenyewe una mapungufu ya kisheria, unaweza vipi kusimama katika mahakama za kimataifa?
Wanasheria, kama mkataba una mapunfufu ya aina hii, wakitupeleke mahakamani , wanaweza vipi kushinda kesi dhidi yetu?
Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili. Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...www.jamiiforums.com
Upande mmoja umesainiwa na state na upnde wa pili umesainiwa na Kampuni. Na IGA ni two state agreementMapungufu ya kisheria kama yapi mkuu?
IGA si two state agreement, ni two governments agreement. Kuna tofauti.Upande mmoja umesainiwa na state na upnde wa pili umesainiwa na Kampuni. Na IGA ni two state agreement
Upande uliosainiwa na kampuni ni upande wa Dubai na aliyesaini ni mkurugenzi wa bandari na hana hiyo full instruments of power kusaini mkataba wa IGASuala la muhimu si nani anasaini, suala la muhimu ni anasaini kwa niaba ya nani na kama ana idhini ya kusaini.
Upande uliosainiwa na kampuni ni upi? aliyesaini ni nani? je, ana full instruments of power ku saini?
Emirate ni nini?Mimi siukubali mkataba, mkataba una matatizo mengi.
Lakini, hii hoja ya "Dubai sio state" ni hoja mufilisi.
Dubai ni Emirate ya UAE. UAE ina mamlaka ya kuipa uwezo Dubai kuingia mkataba kama huu na nchi nyingine.
Ingekuwa UAE inalalamika kwamba Dubai imeingia mkataba huu kinyemela, hapo ungekuwa na point.
Lakini, UAE ina uwezo wa kuipa idhini Dubai iingie mkataba huu, na haijalalamika, zaidi, UAE inafanya kazi pamoja na Dubai kufanikisha biashara za DPW.
Hivi, unafikiri wanasheria wa DPW ni wajinga waingie mkataba huu bila kupata idhini ya UAE?
Na kama mkataba una idhini ya UAE, serikali za UAE na Tanzania zimeikubalia Dubai kuingia mkataba, uharamu wake unatoka wapi?
Unaelewa kwamba mkurugenzi wa bandari wa Dubai ni mfanyakazi wa serikali na alikuwa na full instruments of power kutoka serikali ya Dubai kusaini mkataba?Upande uliosainiwa na kampuni ni upande wa Dubai na aliyesaini ni mkurugenzi wa bandari
Kama mkataba uwe halali Dubai inahitaji idhini ya UAE, si kuna umuhimu wa hiyo idhini iwe sehemu ya mkataba na isiwe tu assumption kuwa idhini ilitolewa?Mimi siukubali mkataba, mkataba una matatizo mengi.
Lakini, hii hoja ya "Dubai sio state" ni hoja mufilisi.
Dubai ni Emirate ya UAE. UAE ina mamlaka ya kuipa uwezo Dubai kuingia mkataba kama huu na nchi nyingine.
Ingekuwa UAE inalalamika kwamba Dubai imeingia mkataba huu kinyemela, hapo ungekuwa na point.
Lakini, UAE ina uwezo wa kuipa idhini Dubai iingie mkataba huu, na haijalalamika, zaidi, UAE inafanya kazi pamoja na Dubai kufanikisha biashara za DPW.
Hivi, unafikiri wanasheria wa DPW ni wajinga waingie mkataba huu bila kupata idhini ya UAE?
Na kama mkataba una idhini ya UAE, serikali za UAE na Tanzania zimeikubalia Dubai kuingia mkataba, uharamu wake unatoka wapi?
An emirate is a territory ruled by an Emir.Emirate ni nini?
Mkataba wenyewe tumeupata kwa kuvuja, hatujaupata kwa njia rasmi.Kama mkataba uwe halali unahitaji idhini ya UAE, si kuna umuhimu wa hiyo idhini iwe sehemu ya mkataba na isiwe tu assumption kuwa idhini ilitolewa?