Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.

Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika

Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
siku ya hukumu utabaki mdomo wazi. ukiona mahakama kama inakupenda kama ilivyofanya kwa mwabukusi, subiri surprise.
 
Unaelewa kwamba mkurugenzi wa bandari wa Dubai ni mfanyakazi wa serikali na alikuwa na full instruments of power kutoka serikali ya Dubai kusaini mkataba?

Umesoma instruments of full powers za Dubai ukurasa wa mwisho?

Nauweka mkataba tena hapa kwa wale ambao hawana wausome na kuuchambua.
Hiyo Emirate ya Dubai haina kiongozi? Tunaona tu Emirate ya Dubai tu, mbona sisi huku kwetu rais wa jamuhuri ya muungano amejitaja kwa jina
 
Hi
Mkataba wenyewe tumeupata kwa kuvuja, hatujaupata kwa njia rasmi.

Unajuaje kwamba tumeupata wote?

Unajuaje hiyo idhini haijatolewa sema tu haijawa sehemu ya mkataba iliyovuja?

Ukiangalia mkataba niliouweka hapa utaona kuwa hata instruments of full powers za Dubai tu zimewekwa kama atachment ambayo haipo katika numbered pages za mkataba. Angalia attachment (IGA) nimeiweka post #17.

Pages zote za mkataba zina margin ya kijani, instruments of full powers ya Dubai haina margin ya kijani, ina maana imeletwa separately. Unajuaje kwamba idhini ya UAE haipo separate pia?

Sasa utajua vipi idhini ya UAE haipo, ila haijawa leaked tu, labda aliyeleak mkataba hakuwa nayo, au hakuwa na uda wa kuiscan alikuwa anaibia.

Kitu muhimu ni kwamba, lalamiko la kwamba Dubai hana nguvu ya kusaini mkataba ni lalamiko linalotakiwa kutolewa na UAE. UAE isipotoa lalamiko hili, Watanzania hamtakiwi kulilalalimikia.

Serikali yenu ishakubali kusaini mkataba na Dubai. Dubai ina serikali. Mkataba ni wa serikali ya Tanzania na serikali ya UAE.

Ni kama vile serikali ya Zanzibar isaini mkataba na serikali ya Oman, kama serikali ya Jamhuri ya Muungano haikatazi, au imeipa idhini serikali ya Zanzibar kuingia mkataba huu, watu wa Oman watakosea kuanza kuhoji kama serikali ya Zanzibar ina mamlaka ya kusaini mkataba na Oman, hilo ni jambo kati ya Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Pia, si makubaliano yote yako wazi, IGA yenyewe ian kipengele cha kuweka makubaliano siri.
Hilo jukumu ni hao wanaolalmikiwa, kama mkataba huu uliosambaa ni feki, wakate mzizi wa fitna kuja na orijino
 
Mkuu,

Tatizo lako la kwanza huna mkataba wowote ambao umetoka officially serikalini na una chain of custody kuonesha authenticity, mikataba yote tunayoiongelea ime leak.

Huko rais wenu kajipendekeza tu, IGA si lazima isainiwe na rais, hata Mwanasheria Mkuu wa serikali tu anawea kusaini.

Kitu muhimu ni anasaini kwa niaba ya nani? Ana full instruments of power kusaini?

Mkataba mshausaini, umeshapita bungeni.

Haya maswali yote yalitakiwa kuulizwa kabla mkataba haujapitishwa bungeni.

Sasa hivi mkataba uko in effect, mpaka Tundu Lissu anasema twende kwenye usuluhishi tukawalipe DPW kabla hawajaanza kazi, maana siku zinavyoenda ndiyo faini zitakavyozidi.

Unafikiri Tundu Lissu ni mjinga kusema hivyo? Haoni njia za kuuvunja mkataba kama null and void?
 
Hi
Hilo jukumu ni hao wanaolalmikiwa, kama mkataba huu uliosambaa ni feki, wakate mzizi wa fitna kuja na orijino
Wanaolalamikiwa wanaweza kusema wanatunza kifungu cha mkataba cha usiri, hawana haja ya kuongelea zaidi, mkataba ushapita bungeni.

Ndiyo maana kila siku unawasikia wanasema "Serikali inasikiliza maoni yenu na itayafanyia kazi".

Ndiyo maana mpaka leo hujamsikia rais kuuongelea mkataba in detail.
 
Mkataba wenyewe tumeupata kwa kuvuja, hatujaupata kwa njia rasmi.

Unajuaje kwamba tumeupata wote?

Unajuaje hiyo idhini haijatolewa sema tu haijawa sehemu ya mkataba iliyovuja?

Ukiangalia mkataba niliouweka hapa utaona kuwa hata instruments of full powers za Dubai tu zimewekwa kama atachment ambayo haipo katika numbered pages za mkataba. Angalia attachment (IGA) nimeiweka post #17.

Pages zote za mkataba zina margin ya kijani, instruments of full powers ya Dubai haina margin ya kijani, ina maana imeletwa separately. Unajuaje kwamba idhini ya UAE haipo separate pia?

Sasa utajua vipi idhini ya UAE haipo, ila haijawa leaked tu, labda aliyeleak mkataba hakuwa nayo, au hakuwa na uda wa kuiscan alikuwa anaibia.

Kitu muhimu ni kwamba, lalamiko la kwamba Dubai hana nguvu ya kusaini mkataba ni lalamiko linalotakiwa kutolewa na UAE. UAE isipotoa lalamiko hili, Watanzania hamtakiwi kulilalalimikia.

Serikali yenu ishakubali kusaini mkataba na Dubai. Dubai ina serikali. Mkataba ni wa serikali ya Tanzania na serikali ya UAE.

Ni kama vile serikali ya Zanzibar isaini mkataba na serikali ya Oman, kama serikali ya Jamhuri ya Muungano haikatazi, au imeipa idhini serikali ya Zanzibar kuingia mkataba huu, watu wa Oman watakosea kuanza kuhoji kama serikali ya Zanzibar ina mamlaka ya kusaini mkataba na Oman, hilo ni jambo kati ya Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Pia, si makubaliano yote yako wazi, IGA yenyewe ian kipengele cha kuweka makubaliano siri.
Ni kweli huu mkataba umevuja na hatujui kama idhini ilitolewa au la. Hivyo kuna uhalali wa kuuliza au kujihakikishia kama hiyo idhini ilitolewa na hili linakuwa swali la ziada kwa serikali yetu.
 
Unafikiri kabisa kwamba DPW na Dubai na wanasheria wao wameingia mkataba na Tanzania bila kupata idhini ya UAE?

Au unajifariji tu kwamba, unaweza kutoka Mwenge, ukawa na safari ya Kariakoo, ukapita Lugalo, ukapita Tangi Bovu, Ukapita Africana, Ukapita Kunduchi, ukafika Bagamoyo, halafu ghafla hapo Bagamoyo pakawa na shortcut ya kukufikisha Kariakoo kwa urahisi zaidi, kuliko kutoka Mwenge kwenda Kariakoo moja kwa moja?

Mkuu,

Unaelewa kwamba Emir wa Dubai ndiye Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Emir wa UAE?

Sasa hapo watu hawa wanafanya kazi kimkakati kwa karibu kabisa, unafikiri kuna mkataba mkubwa kama huu, wa kuwafaidisha, wa Dubai unaotakiwa kupata idhini ya UAE na kukosa?

Hawa jamaa walichofanya ni hiki.

Walijua kunawezekana kukatokea matukio huko mbele, washapata uzoefu wa kesi kama na Djibouti. Kwa kujua hilo, wametaka kuilinda UAE, wakafanya mikataba bila kutumia jina la UAE, wakitumia jina la Dubai, kwa devolvement kutoka UAE, sisi tukakubali.

Hapo kama kuna kosa ni letu, wao wakiulizwa hawana tabu kuonesha UAE imekubali, this is a business deal.
 
Kwa mantiki hivyo basi. Mkataba huu tumeshauza bandari zetu?
 
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.

Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika

Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
He unamregard huyo mzee Wasira aliyepitwa na zama.? Bungeni kazi yake ilikuwa kulala tu, bora hata Magu alimtoa mapema kwenye kura za maoni alipotaka kugombea 2020 baada ya kutoswa 2015🤣🤣
 
Kwa mantiki hivyo basi. Mkataba huu tumeshauza bandari zetu?
Hatujauza Bandari. Tunaweza kuuvunja mkataba kwa namna mbili tu.

1. Kuwaomba DPW tuvunje makataba, wakakubali. Hapa uwezekano wa hili kutokea ni karibu na sifuri.

2. Kwenda kwenye usuluhishi wa kimataifa. Ambapo piga ua galagaza tutapigwa faini, tulipe faini kwa kuvunja mkataba. Tundu Lissu anashauri tufanye hivi, kwa sababu tutapigwa faini, lakini itakuwa ndogo tukiwahi mapema, kadiri tunavyozidi kuchelewa ndivyo faini itakavyozidi.

Pia, tunaweza kuongea na DPW tubadili vipengele vya mkataba, tuurudishe bungeni, upate ratification upya, lakini hapa tutategemea huruma za DPW kama option 1 hapo juu, na most likely watakataa na tutaishia kwenye usuluhishi kama option 2 hapo juu.

Vyovyote vile, hakuna ku nullify mkataba bila faini hapo.

Tumecheza ule mchezo wa chess ambapo viongozi wameona wanakula, wanakula, wanakula kete, mwisho wake wanajikuta wamefungwa kwa checkmate, hawana pa kucheza, mchezo umeisha.

Uroho wao umewaponza.

Mkataba huu uneshabadili sheria za Tanzania kwa namna ambayo maliasili za Tanzania zimepunguziwa ulinzi wa kisheria, kwa hiyo, hata tukivunja mkataba huu, madhara yake ni zaidi ya mkataba wenyewe, kwa sababu umeshabadili mpaka sheria tayari.

Madhara yake yatakuwapo kwenye mikataba yote inayofuata.

Zaidi ya mkataba, tunatakiwa pia tufute mabadiliko ya sheria yaliyoletwa na mkataba huu.

Yani hata tukiuvunja mkataba, tusi deal na DPW tena, madhara yaliyofanywa na mkataba kwenye kubadili sheria bado yapo, mpaka tuondoe mabadiliko ya sheria yaliyotokana na mkataba.
 
Hatujauza Bandari. Tunaweza kuuvunja mkataba kwa namna mbili tu.

1. Kuwaomba DPW tuvunje makataba, wakakubali. Hapa uwezekano wa hili kutokea ni karibu na sifuri.

2. Kwenda kwenye usuluhishi wa kimataifa. Ambapo piga ua galagaza tutapigwa faini, tulipe faini kwa kuvunja mkataba. Tundu Lissu anashauri tufanye hivi, kwa sababu tutapigwa faini, lakini itakuwa ndogo tukiwahi mapema, kadiri tunavyozidi kuchelewa ndivyo faini itakavyozidi.

Pia, tunaweza kuongea na DPW tubadili vipengele vya mkataba, tuurudishe bungeni, upate ratification upya, lakini hapa tutategemea huruma za DPW kama option 1 hapo juu, na most likely watakataa na tutaishia kwenye usuluhishi kama option 2 hapo juu.

Vyovyote vile, hakuna ku nullify mkataba bila faini hapo.

Tumecheza ule mchezo wa chess ambapo viongozi wameona wanakula, wanakula, wanakula kete, mwisho wake wanajikuta wamefungwa kwa checkmate, hawana pa kucheza, mchezo umeisha.

Uroho wao umewaponza.

Mkataba huu uneshabadiki sheria za Tanzania kwa namna ambayo maliasiki za Tanzania zimepunguziwa ulinzinwa kisheria, kwa hiyo, hata tukivunja mkataba huu, madhara yake ni zaidi ya mkataba wenyewe, kwa sababu umeshabadiki npaka sheria tayari.

Madhara yake yatakuwapo kwenye mikataba yote inayofuata.

Zaidi ya mkataba, tunatakiwa pia tufute mabadiliko ya sheria yaliyoletwa na mkataba huu.
Taifa linasaini vp mikataba kama hizi.
Sababu ni kutafuta pesa? Au kuiinufaisha wao kama wao.

Kukosa uelewa wa Mambo ya mikataba?

Kutaka shortcut katika uongozi wao?

Faida ni nini? Ukitazama kwenye madini ni changamoto, ukija kwenye gesi huko ndiko usiseme Leo tena bandari?
Kwamba wanataka tuishi kama misukule kwenye Nchi yetu au faida Yao ni IPI?

Kama uongozi ni mgumu kiasi hicho kwanini wanapambana sana kuendelea kuwa viongozi?

Nawaza mengi sana nakosa majibu?
Inauma kama kizazi kijacho kitafaidi hizi raslimali zilizopo.

Au tatizo ni sisi wananchi tumekuwa wajinga na wapumbavu kushindwa kuchagua watu sahii wanaofit kwenye uongozi.

Au mfumo ndio tatizo.

Anyway huwezi kuwa na vyote Kwa wakati mmoja. Uwe na Mali na ujue kuzitumia. Ni nadra sana
 
Taifa halisaini mikataba, wanasaini watawala wachache walafi. Ndiyo maana hata wananchi hawapewi nafasi ya kuishauri serikali kabla mikataba haijasainiwa au kupitishwa bungeni.

Na hao watawala nia yao si ustawi wa taifa, nia yao ni kujitajirisha na kuendelea kutawala.

Watu wanatafuta hela za uchaguzi wa 2025 na uhakika wa kutajirika wao na vizazi vyao.

Ukielewa hili, hutashangaa.

Najua Samia ni mjinga, lakini, si mjinga kiasi cha kusaini mkataba kama huu kwa ujinga tu.

Hapa inaonekana kuna mamia ya mamilioni ya dola za Kimarekani yametembea kirushwa.

DPW wana historia hiyo, kina Rostam wana historia hiyo, Samia anapangiwa tu cha kusaini.
 
Kama mkataba uwe halali Dubai inahitaji idhini ya UAE, si kuna umuhimu wa hiyo idhini iwe sehemu ya mkataba na isiwe tu assumption kuwa idhini ilitolewa?
Sasa Dubai ni independent state ndani ya UAE.
Unafikiri kabisa kwamba DPW na Dubai na wanasheria wao wameingia mkataba na Tanzania bila kupata idhini ya UAE?

Au unajifariji tu kwamba, unaweza kutoka Mwenge, ukawa na safari ya Kariakoo, ukapita Lugalo, ukapita Tangi Bovu, Ukapita Africana, Ukapita Kunduchi, ukafika Bagamoyo, halafu ghafla hapo Bagamoyo pakawa na shortcut ya kukufikisha Kariakoo kwa urahisi zaidi, kuliko kutoka Mwenge kwenda Kariakoo moja kwa moja?

Mkuu,

Unaelewa kwamba Emir wa Dubai ndiye Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Emir wa UAE?

Sasa hapo watu hawa wanafanya kazi kimkakati kwa karibu kabisa, unafikiri kuna mkataba mkubwa kama huu, wa kuwafaidisha, wa Dubai unaotakiwa kupata idhini ya UAE na kukosa?

Hawa jamaa walichofanya ni hiki.

Walijua kunawezekana kukatokea matukio huko mbele, washapata uzoefu wa kesi kama na Djibouti. Kwa kujua hilo, wametaka kuilinda UAE, wakafanya mikataba bila kutumia jina la UAE, wakitumia jina la Dubai, kwa devolvement kutoka UAE, sisi tukakubali.

Hapo kama kuna kosa ni letu, wao wakiulizwa hawana tabu kuonesha UAE imekubali, this is a business deal.
Pia hizi emirates zipo saba rais wa uae anatokea Abudhabi na waziri mkuu na makamu wa rais anatokea Dubai na mambo ya bandari kwao hayapo kwenye federal govt ya uae yaani ni masuala yanayo yanayoshughulikiwa na emirate husika kama abudhabi wanadeal na ya kwao na dubai wanadel na ya kwao ni sawa na huku tunaposema union vs non union matters mfano tu hatuwezi kuipangia zanzibar ikanunue dawa za hospitali wapi? Sasa dubai ports kupitia dubai inaangukia chini ya jurisdiction ya dubai emirates sasa huwezi kumwambia rais wa uae ambaye ports zake ni abudhabi aingilie mambo ya emirate nyingine uae sio republic presidential sysytem kiufupi kule ni makabila saba yanaunda UAE na kila moja linasimamia eneo lake na kiongozi ndio emir muungano unakuja kwenye ulinzi ,sera ya mambo ya nje na fedha.
 
Kwa kutokuupata mkataba wote rasmi, mengine yanayobaki ni speculations tu. Ikishakuwa issue ya kisheria, ni bora tu kujihakikishia hata kama uwezekano wa hilo kutokea ni mdogo mno.
 
Taifa linasaini vp mikataba kama hizi.
Sababu ni kutafuta pesa? Au kuiinufaisha wao kama wao.

Kukosa uelewa wa Mambo ya mikataba?

Kutaka shortcut katika uongozi wao?

Faida ni nini? Ukitazama kwenye madini ni changamoto, ukija kwenye gesi huko ndiko usiseme Leo tena bandari?
Kwamba wanataka tuishi kama misukule kwenye Nchi yetu au faida Yao ni IPI?

Kama uongozi ni mgumu kiasi hicho kwanini wanapambana sana kuendelea kuwa viongozi?

Nawaza mengi sana nakosa majibu?
Inauma kama kizazi kijacho kitafaidi hizi raslimali zilizopo.

Au tatizo ni sisi wananchi tumekuwa wajinga na wapumbavu kushindwa kuchagua watu sahii wanaofit kwenye uongozi.

Au mfumo ndio tatizo.

Anyway huwezi kuwa na vyote Kwa wakati mmoja. Uwe na Mali na ujue kuzitumia. Ni nadra sana
Sasa bandari si itaendelea kuwepo tu kuwa itaisha au na kupitia uwekezaji si ndio itakuwa ya kisasa zaidi wasiwasi ni nini yaani itabebwa waondoke nayo
Watajenga kazi itafanywa na muda ukiisha wataondoka wataiacha bandari sio madini kuwa yataisha na kuachwa mashimo sana wao watakaojenga na kuwekeza wasiporudisha faida wataacha faida kwenye nchi host kwa vile watakavyokuwa wameviwekeza kupitia ujenzi na ndio maana wanasaini mikataba kama hii kwa kuwa wananafasi kubwa ya kupoteza zaidi kuliko wenye eneo husika uwekezaji wa viwanda na maujenzi uhakika ni mwekezaji ataviacha hawezi kuvibeba aondoke navyo sio kama gesi au mafuta kuwa ulishachimba unajaza kwenye matanki unaondoka nayo .
 
An emirate is a territory ruled by an Emir.

What is the point of this question?

Kwa mfano, tukisema emirate ni kitu kidogo sana, ni kama kijiji na mkuu wa kijiji ni emir, point yako ni nini hapa katika kuuliza swali hili?
Screenshot_20230729-234300.jpg
 
Kwa kutokuupata mkataba wote rasmi, mengine yanayobaki ni speculations tu. Ikishakuwa issue ya kisheria, ni bora tu kujihakikishia hata kama uwezekano wa hilo kutokea ni mdogo mno.
Dont be stupid
 
Sasa Dubai ni independent state ndani ya UAE.

Pia hizi emirates zipo saba rais wa uae anatokea Abudhabi na waziri mkuu na makamu wa rais anatokea Dubai na mambo ya bandari kwao hayapo kwenye federal govt ya uae yaani ni masuala yanayo yanayoshughulikiwa na emirate husika kama abudhabi wanadeal na ya kwao na dubai wanadel na ya kwao ni sawa na huku tunaposema union vs non union matters mfano tu hatuwezi kuipangia zanzibar ikanunue dawa za hospitali wapi? Sasa dubai ports kupitia dubai inaangukia chini ya jurisdiction ya dubai emirates sasa huwezi kumwambia rais wa uae ambaye ports zake ni abudhabi aingilie mambo ya emirate nyingine uae sio republic presidential sysytem kiufupi kule ni makabila saba yanaunda UAE na kila moja linasimamia eneo lake na kiongozi ndio emir muungano unakuja kwenye ulinzi ,sera ya mambo ya nje na fedha.
Wanasema Dubai haina nguvu za kusaini mkataba wa kimataifa, mikataba ya kimataifa ni kazi ya UAE.

Lakini hata hapo, Dubai inaweza kusaini mikataba ya kimataifa kwa idhini ya UAE, kama Zanzibar inavyoweza kufanya mikataba ya kimataifa kwa idhini ya serikali ya muungano.
 
Acha kuongea ujinga. Zanzibar lili ilishasaini mikataba kwa niaba ya Muungano? Wapi Zanzibar ina ubalozozi wa kudumu?
 
Back
Top Bottom