Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kufuatilia mada point kwa point?Mbona unajichanganya braza, unatetea usichokijua mara imevujishwa sasa kitu kilichovujishwa uwa haina uhalisia mbona unaitetea?
Tanganyika hamko serious nyie ujinga umewatawala aise
Nenda kasome mkataba wa Montevideo. Sio unadandia mada wakati kichwani ni bumundaView attachment 2702644
Wewe ni mpumbavuNakwambia hivi, what is the relevanve of a state in this discussion?
An IGA is Inter Governmental Agreement.
Inter Governmental Agreement. Not International Agreement. Not Inter State Agreement.
Hata serikali ya kijiji inaweza kusaini IGA.
Marekani serikali za wilaya nanserikali za majimbo zinasaini IGA.
Sasa kwa nini unang'ang'ania mambo ya state?
Usinikashifu, weka point.Wewe ni mpumbavu
Wewe kama sio mpumbavu nini? Unashindwa kujua kuwa Dubai ni sehemu ya UAE na sio state.Usinikashifu, weka point.
Ukinikashifu tu bila kuweka point umefanya logical fallacy.
Ad Hominem
www.txst.edu
Hii logical fallacy inaitwa "ad hominem attack".
Yani, unaacha kujadili hoja, unamtukana mtoa hoja.
Hii ni dalili ya kukosa hoja.
Nimekuuliza maswali, umeshindwa kuyajibu.
Nimekupa hoja, umeshindwa kuzipangua.
Inaonekana huna hoja. Una kashfa.
Una logical fallacy ya ad hominem attack tu.
Dubai hata ingekuwa kijiji, tatizo liko wapi?Wewe kama sio mpumbavu nini? Unashindwa kujua kuwa Dubai ni sehemu ya UAE na sio state.
Montevideo convetion on statehoodDubai hata ingekuwa kijiji, tatizo liko wapi?
Montevideo Convention on statehood wapi imekataza non state governments kusaini Inter Governmental Agreements?Montevideo convetion on statehood
www.goldinglawyers.com
Umeacha kuwa kada na chawa lini ?!. Au ni bandari imekutoa nyongo !!. Hayo ndiyo tumekuwa tukiyapinga huku mkitubeza . Ccm na genge lao ni wezi. Bi mkubwa alivyoona kalikoroga ameamua kulikabidhi chama uvundo.Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Nenda kasome Article 1 ya montevideo convetion on statehood. Acha kubwabwajaMontevideo Convention on statehood wapi imekataza non state governments kusaini Inter Governmental Agreements?
Weka hicho kifungu hapa.
Unaelewa kwamba a government does not need to be a state's government right?
Unaelewa kwamba Hong Kong si state na imesaini IGA right?
Soma IGA ya Hong Kong na USA hapa.
Naomba ujiheshimu usiniletee uduwanzi asubuhi asubuhiUmeacha kuwa kada na chawa lini ?!. Au ni bandari imekutoa nyongo !!. Hayo ndiyo tumekuwa tukiyapinga huku mkitubeza . Ccm na genge lao ni wezi. Bi mkubwa alivyoona kalikoroga ameamua kulikabidhi chama uvundo.
Hata hivyo hakuna mwenye imani na mahakama ambazo Rostam anasema kweli kuwa kwa simu moja tu haki inapindishwa.
Article one ya Montevideo Convention on Statehood hii hapa chini kwenye post hii.Nenda kasome Article 1 ya montevideo convetion on statehood. Acha kubwabwaja
Mfyuu Fuata Yako 🤣Thread tayari!!! Unakimbizwa?? Au unawahi wapi? Rudi uandike vizuri
Dubai kama Zanzibar haina capacity ya kuingia mikataba ya kimataifaArticle one ya Montevideo Convention on Statehood hii hapa chini kwenye post hii.
Hakuna sehemu ambapo inasema non state governments haziwezi kusaini IGA.
In fact hapo juu nimekuwekea mfano wa non state government (Hong Kong) ilivyoingia IGA na USA mwaka 2020.
Unasoma unachonukuu au unaleta ubishi tu?
Montevideo Convention
Done at: Montevideo
Date enacted: 1933-12-26
In force: 1934-12-26
The Governments represented in the Seventh International Conference of American States:
Wishing to conclude a Convention on Rights and Duties of States, have appointed the following Plenipotentiaries:
[List of plenipotentiaries omitted]
Who, after having exhibited their Full Powers, which were found to be in good and due order, have agreed upon the following:
Article 1
The state as a person of international law should possess the following qualifications:
a. a permanent population;
b. a defined territory;
c. government; and
d. capacity to enter into relations with the other states.
we hiyo sheria yako umeisoma kwenye hivi vyuo vyetu mnavitukana kila siku? Kwa hiyo nyie ndio mnajua sheria kuliko waingereza walioleta hizo sheria kwa meli? Uingereza iingie mkataba na Dubai useme siyo state. Tafuta uzushi na mauwongo mengine hapo mmeshindwa. Kwanini hamchoki kila siku mnazushi mauwongo au ndio kazi mmeajiriwa nayoDubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Kwasababu uelewa wale vichaa wanatafuta tu umaarufu kwa gharama ndogo, serikali ya CCM haiwezi kuzuiliwa na chombo chochote ktkt mipango yake ya maendeleoDubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
we unaielewa mbona hujaielezeaKuna tatizo sana mtu anapokariri na kurudia rudia kama kasuku "Montevideo Convention. Montevideo Convention" bila hata ya kuielewa hiyo Montevideo Convention inasema nini.