Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

Dubai kama Zanzibar haina capacity ya kuingia mikataba ya kimataifa
Hilo ni suala ambalo Dubai inaweza kupata idhini ya UAE na kuingia mikataba ya kimataifa.

Hata Zanzibar inaweza kuingia mikataba ya kimataifa kwa idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Nimekupa mfano wa Hong Kong hapo juu.

Hong Kong si state, lakini imeingia IGA na USA mwaka 2020.

Link hii hapa chini.

Unasoma au unapenda ubishi tu?

siku ya hukumu utabaki mdomo wazi. ukiona mahakama kama inakupenda kama ilivyofanya kwa mwabukusi, subiri surprise.
mahakama gani nchi hii itapinga jambo lenye maslahi makubwa ktkt Taifa? Watu wamechanganyikiwa tu
 
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.

Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika

Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Labda kama hao majaji hawajipendi, ndiyo Mwabukusi et al watashinda.
Niwaonye tu hao majaji watendeke haki kwa serikali, maana hata mishahara yao inatoka kwa hao wawekezaji serikali inayowatafuta kwa shida kila siku.
 
Kuna hoja za kupinga mkataba.

Zipo nyingi tu, nzuri tu.

Lakini hii ya kusema mkataba ni batili kwa sababu Dubai si nchi, hii si hoja yenye mashiko.

Hii inaonesha watu kutojua mambo tu.
 
Hilo ni suala ambalo Dubai inaweza kupata idhini ya UAE na kuingia mikataba ya kimataifa.

Hata Zanzibar inaweza kuingia mikataba ya kimataifa kwa idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Nimekupa mfano wa Hong Kong hapo juu.

Hong Kong si state, lakini imeingia IGA na USA mwaka 2020.

Link hii hapa chini.

Unasoma au unapenda ubishi tu?

Sasa mikataba ya kimataifa lazima iwe ratified na bunge la taifa. Wewe ni bumunda ambaye hujui kitu. Kama dubai dio state, wapi UAE waliridhia hii kitu ya Dp?
 
Kuna hoja za kupinga mkataba.

Zipo nyingi tu, nzuri tu.

Lakini hii ya kusema mkataba ni batili kwa sababu Dubai si nchi, hii si hoja yenye mashiko.

Hii inaonesha watu kutojua mambo tu.
Sisi kama nchi kwa nini tuingie mkataba na mkoa wa UAE?
 
Sasa mikataba ya kimataifa lazima iwe ratified na bunge la taifa. Wewe ni bumunda ambaye hujui kitu.
Wewe ndiye zuzu, kwa sababu huu mkataba umeshakuwa ratifued.

Point yako nini hapa?

Ungekuwa na point kama mkataba huu ungekuwa haujawa ratified.

Unajua hata unachotakankusema ni kipi?

Unasema mikataba yabkimataifa ninlazima iwe ratified na bunge la taifa.

Huu mkataba umekuwa ratified na bunge la taifa.

Kwa definition yako huu ni mkataba wa kimataifa. Ama sivyo bunge lisinge u ratify.

Unaelewa hata wewe mwenyewe unataka kusema nini?
 
Bunge la Tanzania limeridhia huu mkataba kimakosa, hili lipo wazi, kila kitu wameburuzwa. Huwenzi kuingia mkataba mkataba na taifa ambalo halipo
 
Wanaolalamikiwa wanaweza kusema wanatunza kifungu cha mkataba cha usiri, hawana haja ya kuongelea zaidi, mkataba ushapita bungeni.

Ndiyo maana kila siku unawasikia wanasema "Serikali inasikiliza maoni yenu na itayafanyia kazi".

Ndiyo maana mpaka leo hujamsikia rais kuuongelea mkataba in detail.
hiyo imeshapita watu watafute kazi nyinginem imebaki tu utekelezaji na wananchi wameshaelewa wamebaki hao keyboard warrroirs hao ni watu wakulalamika maisha yao yote hata ije serikali gani. Mfano mtu km Lissu yale ndio maisha yake ni serikali ipi amewahi kuisapoti. Yule ni kibaraka tu anayeweza kuikimbia nchi wakati wowote
 
Kuna hoja za kupinga mkataba.

Zipo nyingi tu, nzuri tu.

Lakini hii ya kusema mkataba ni batili kwa sababu Dubai si nchi, hii si hoja yenye mashiko.

Hii inaonesha watu kutojua mambo tu.
Eti Zanzibar inaweza kuruhusiwa kuingia mkataba wa kimataifa . We fala umesahau suala la Oic? We pimbi huna akili zaidi ya kumiliki simu na kujamba tu
 
hiyo imeshapita watu watafute kazi nyinginem imebaki tu utekelezaji na wananchi wameshaelewa wamebaki hao keyboard warrroirs hao ni watu wakulalamika maisha yao yote hata ije serikali gani. Mfano mtu km Lissu yale ndio maisha yake ni serikali ipi amewahi kuisapoti. Yule ni kibaraka tu anayeweza kuikimbia nchi wakati wowote
Acha ujinga ishu ipo mahakamani
 
Bunge la Tanzania limeridhia huu mkataba kimakosa, hili lipo wazi, kila kitu wameburuzwa. Huwenzi kuingia mkataba mkataba na taifa ambalo halipo
IGA si mkataba wa taifa na taifa.

Ni mkataba wa serikali na serikali.

Nimekuoa mfanonwa IGA ya Hong Kong na USA.

Hong Kong si taifa, USA ni taifa.

Serikali za Hong Kong na USA zimeingia IGA mwaka 2020.

Kwa nini huelewi point hii?

Kwa nini nakueleza mara ya nne unajitia akili?

Soma IGA ya Hong Kong na USA kwenye link hapa.

Back
Top Bottom