Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

Kama IGA ni between two sovereign states basi tunaweza kuchomoka maana Dubai ni sehemu tu ya United Arab Emirates ambayo pia ina majiji mengine kama Abu Dhabi yanayounda nchi hiyo.

This means Mkataba halali ulipaswa kuwa kati ya UAE na Tanzania na si Dubai na Tanzania.

Tusubiri tuone mahakama itaamuaje maana pia Sheria ya Maliasili imekiukwa ambayo inasema kugawana faida 50/50 na investor day one ya uzalishaji. Sasa hapa DPW Dubai wamelamba 100% Tanzania 0%, kweli Bulicheka kwenye safari zake za Dubai kaenda kutuuza wagagagigikoko mchana kweupeeee!

Nafikiri alievujisha huu Mkataba alikuwa na motives nyingi just my political science guess

1. Alitaka wabongo waone Rais mwanamke hana akili ya uongozi , yaani Bimkubwa hana akili ya kusoma na kuelewa mikataba mizito. Ila akili ya kuekti movie na kuendesha magari mbugani anayo.
2. Kwamba Rais muislam hana akili
3. Kwamba Rais mzanzibari Hana akili
4. Kwamba urais wa TZ si saizi ya Mama! Kwake ni Oversize boot! Maana pia tukumbuke hakuchaguliwa kwa sanduku la kura.
5. Kwamba Safari zingine za Rais huleta majanga nchini bora ya Magu alijikalia zake chato hakwenda nje kuokota mabalaa na kuletea raia
6. Kwamba Raia tujue Tanzania inaibiwa sana na wageni na tunaowezesha Hilo ni sisi wenyewe kwakuwa hatuna akili Wala uzalendo
7. Kwamba Huyu mtu alievujisha mkataba ni mtu WA ndani kabisa wa Cabinet akimchonganisha Mama na wananchi Ili wamchukie na pia Huyu mtu anautaka Urais wa bongo kwa udi na uvumba na lazima ni kijana anaeona Mama hatoshi , just with my guts
8. Kwamba Mama ni mzenji anawapa wajomba zake waarabu Mali zetu wadanganyika tukose wote ana hasira na chuki na Tanganyika na anatukomoa machogo kwa kuikalia Zenji kwa nguvu kupitia muungano.
9. Kwamba yeye ni Rais na Yuko juu ya Sheria anafanya analojisikia
10. Kwamba nchi nzima mwenye akili ni yeye tu!!
 
Nafikiri Bimkubwa hana akili ya kusoma na kuelewa mikataba. Ila akili ya kuekti movie na kuendesha gari anayo. Yawezekana Urais si saizi yake!
Tumeongea sana hapo juu.

IGA haihitaji kuwa between two sovereign states.

Tumeona kuna IGA ya Hong Kong (non sovereign territory) na USA (sovereign state) ya mwaka 2020.

Kinachotakiwa ni Dubai kupata idhini ya UAE kuingia IGA tu, kitu ambacho, kwa kuangalia ukweli kwamba Emir wa Dubai ndiye Prime Minister na Vice Emir wa UAE, haiyumkiniki kuwa Dubai wameingia mkataba mkubwa kama huu bila kupata hiyo idhini.

Mfano wa IGA ya non sovereign territory na sovereign state huu hapa kwenye link, IGA ya Hong Kong na USA.

Yes, Samia anasaini vitu kama havisomi, instruments of full power ya Tanzania ni kituko.

Mkataba una mapungufu mengi, tunatakiwa kuupinga.

Lakini hii hoja ya "Dubai si nchi, mkataba batili" haina mashiko.
 
Mkuu bado huwezi kulinganisha Dubai na Hong Kong, maana Hong Kong inajitegemea kama nchi kamili na suala la kuwa ni sehemu ya China Lina utata, nchi zingine nyingi hazitambui hilo but Dubai for certain Iko chini ya UAE na ni UAE ilipaswa kusaini IGA na Tanzania Wala sio DPW kama Kampuni au Jiji la Dubai.

Bado ukakasi wa Kisheria upo Mkuu, huu Mkataba ni batili ni sawa na Singida chini ya mchunga ng'ombe alietuamrisha tuhamie Burundi kukwepa tozo kuiwakilisha Tanzania na kusaini IGA na Kenya kuboresha biashara ya Miraa!
 
Unaelewa mkataba wenyewe ume define "State Party" ni nini katika ukurasa wa 10 na haujatumia definition uliyokariri ya Montevideo Convention?

Mwanzo kabisa IGA inasema kuwa Tanzania na Dubai zitaitwa State Parties. Soma page ya 4 paragraph ya 2.

Yani hapo hata wangeita kijiji cha Kwamtipura ni state party, kwa sababu wanatumia definition ya kwenye mkataba, ukisaini, umekubali kuwa kijiji cha Kwamtipura ni state party.
Ulimaliza la saba kweli?
 
Ulimaliza la saba kweli?

This logical fallacy is called ad hominem.

Umeshindwa kujadili hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Hata kama sijaanza darasa la kwanza.

Inawezekana mimi nikawa autodidakt. Google that.

I am sure you don't know what it means.

Usiishi kwa kukariri.

You are not making sense.

Mkataba umesema state parties ni Tanzania na Dubai. Page 4, paragraph 2.

Tanzania imekubali. Dubai imekubali.

Hata kama Dubai ingekuwa kijiji.Suala la state parties limeisha.Limekuwa defined kwenye mkataba, pande zote zimekubali.

Dubai ina nguvu ya kusaini IGA au haina?

Dubai haihitaji kuwa state kusaini IGA. Get that out of your head. Dubai inaweza kuwa serikali ya kijiji na ikasaini IGA na Tanzania as long as UAE hawana matatizo, wameidhinisha, na Tanzania hawana matatizo, wamekubali.

Tumeona mfano wa Hong Kong ilivyosaini IGA na USA 2020. Hong Kong si state. Lakini imesaini na sovereign state USA.

Hii hoja ya "Dubai si nchi , mkataba batili" haina mashiko. Ni hoja mufikisi. Ni fantasy.

Tafuta hoja nyingine.
 
Mkuu bado huwezi kulinganisha Dubai na Hong Kong, maana Hong Kong inajitegemea kama nchi kamili na suala la kuwa ni sehemu ya China Lina utata, nchi zingine nyingi hazitambui hilo but Dubai for certain Iko chini ya UAE na ni UAE ilipaswa kusaini IGA na Tanzania Wala sio DPW kama Kampuni au Jiji la Dubai.

Bado ukakasi wa Kisheria upo Mkuu, huu Mkataba ni batili ni sawa na Singida chini ya mchunga ng'ombe alietuamrisha tuhamie Burundi kukwepa tozo kuiwakilisha Tanzania na kusaini IGA na Kenya kuboresha biashara ya Miraa!
Mkuu,

Kwanza hili la "Dubai si nchi" hata si suala lako. Hili ni suala la UAE.

UAE wamelalamika wapi?

Yani wewe unapeleka mahakamani kesi ya UAE kaibiwa nguo.

Unaulizwa ushahidi uko wapi? Huna.

UAE kalalamika wapi? Huna sehemu ambayo UAE kalamika.

UAE mwenyewe yuko wapi? Humjui.

Kesi hiyo itatupiliwa mbali.

Mkataba una mengi ya kukosoa, mkataba una mengi mabovu.

Jikiteni kwenye hayo mabovu ambayo hayana utata.

Hii fantasy ya kwamba mtavunja mkataba kwa sababu Dubai si nchi, mnajitafutia kulia tu.
 
Sasa bandari si itaendelea kuwepo tu kuwa itaisha au na kupitia uwekezaji si ndio itakuwa ya kisasa zaidi wasiwasi ni nini yaani itabebwa waondoke nayo
Watajenga kazi itafanywa na muda ukiisha wataondoka wataiacha bandari sio madini kuwa yataisha na kuachwa mashimo sana wao watakaojenga na kuwekeza wasiporudisha faida wataacha faida kwenye nchi host kwa vile watakavyokuwa wameviwekeza kupitia ujenzi na ndio maana wanasaini mikataba kama hii kwa kuwa wananafasi kubwa ya kupoteza zaidi kuliko wenye eneo husika uwekezaji wa viwanda na maujenzi uhakika ni mwekezaji ataviacha hawezi kuvibeba aondoke navyo sio kama gesi au mafuta kuwa ulishachimba unajaza kwenye matanki unaondoka nayo .
Hoja ya kipumbavu kabisa
 
Hoja ya kipumbavu kabisa
Ukishakimbilia kutukana inaonyesha yaliyomo kichwani mwako ,ukishaona unakasirika ushazidiwa hivyo ndio hapo unaanza kurusha matusi na abusive language type hoja zijibiwe na sio abusive language
 
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.

Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika

Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Mwanasheria wa DPw hapa JF Lord denning anasemaje kwenye hili la Dubai kutokuwa State?
Kule kwao ka-sign mtu mwenye hadhi ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA huku kwetu liwaziri lizima likaanguka mkono. Ushenzi mtupu.
 
Mkuu,

Hebu nipe nafasi niongee na mtu tofauti kidogo.

Wewe hii hoja ya "Dubai si nchi, mkataba ni batili" umeielewa na kuikubali?

Umefuatilia mjadala wa hapo juu kwenye hii hoja?
Mkuu,hapo nimemjibu mtu ambaye dhahiri amejionyesha kuwa yeye haoni kinachojadiliwa hapa, yeye ameelekea upande usio na chochote, yaani ni kama anasema tu liwalo na liwe,nimemwita mpumbavu,i might be wrong in a way,ila nimekuelewa,the bottom line is== mkataba ni mbovu kuliko tulivyodhani
 
Ukishakimbilia kutukana inaonyesha yaliyomo kichwani mwako ,ukishaona unakasirika ushazidiwa hivyo ndio hapo unaanza kurusha matusi na abusive language type hoja zijibiwe na sio abusive language
Nimekuonyesha tu ubora wa hoja yako mkuu,sijakutukana,umetoa hoja ya kipumbavu na nikaku alert tu kuwa hoja yako ni ya kipumbavu,sikuwa na la zaidi mkuu
 
Mkuu,hapo nimemjibu mtu ambaye dhahiri amejionyesha kuwa yeye haoni kinachojadiliwa hapa, yeye ameelekea upande usio na chochote, yaani ni kama anasema tu liwalo na liwe,nimemwita mpumbavu,i might be wrong in a way,ila nimekuelewa,the bottom line is== mkataba ni mbovu kuliko tulivyodhani
Mimi nimekuelewa.

Mkataba mbovu sana.

Ila nashangaa tunakimbilia hoja ya "jipulizieni hii dawa, risasi zao zitageuka maji".

Really? Hoja zote za msingi hizi, tunaenda kushabikia "Dubai si nchi, mkataba batili"?

Hatuoni hizi ni habari za vita vya Maji Maji hapa?
 
Nimekuonyesha tu ubora wa hoja yako mkuu,sijakutukana,umetoa hoja ya kipumbavu na nikaku alert tu kuwa hoja yako ni ya kipumbavu,sikuwa na la zaidi mkuu
Umeeendelea kuonyesha how low you are in thinking capacity tatizo la kukulia chini ya mbuyu nakuwa na exposure ndogo kiasi reasoning inakuwa ya kuvuta kama manati. Dangote kipindi kilichopita kiwanda si alifunga baada ya misukosuko iliyompata kwani aliondoka nacho despite all the odds kwa kuwa uwekezaji aliofanya hauhamishiki kabisa huwezi kubeba wala kuhamisha baadhi ya uwekezaji unaofanya na hili liko wazi kabisa.
 
Mimi nimekuelewa.

Mkataba mbovu sana.

Ila nashangaa tunakimbilia hoja ya "jipulizieni hii dawa, risasi zao zitageuka maji".

Really? Hoja zote za msingi hizi, tunaenda kushabikia "Dubai si nchi, mkataba batili"?

Hatuoni hizi ni habari za vita vya Maji Maji hapa?
Soma preamble ya mkataba. Je dubai inakidhi vigezo vya mkataba wa Montevideo kuwa state?
 
Kusaini IGA na nchi ya kigeni huhitaji kukidhi vigezo vya mkataba wa Montevideo kuwa state.

Hong Kong sio state kwa mujibu wa Montevideo Convention, lakini imeingia IGA na USA mwaka 2020.

Usichoelewa ni kipi?

Au unajitoa akili kwa kutaka ubishi tu?

Ona IGA ya Hong Kong na USA hapa.

Umeeendelea kuonyesha how low you are in thinking capacity tatizo la kukulia chini ya mbuyu nakuwa na exposure ndogo kiasi reasoning inakuwa ya kuvuta kama manati. Dangote kipindi kilichopita kiwanda si alifunga baada ya misukosuko iliyompata kwani aliondoka nacho despite all the odds kwa kuwa uwekezaji aliofanya hauhamishiki kabisa huwezi kubeba wala kuhamisha baadhi ya uwekezaji unaofanya na hili liko wazi kabisa.
Mkuu,rudia kusoma ulichoandika juu,halafu uiambie hadhira hii ni kipi hasa ulichoshauri,usipouona upotofu wa hoja yako utakuwa kipofu wa fikra
 
Sasa upofu wa fikra si ni wako kwa kiswahili kizuri tunaita upunguani kwani wale waliotoa viwanja watu wakajenga maghorofa ya biashara wakaachiwa flat 2 au 3 halafu baada ya muda wakaachukua jengo lote mwanzoni huonekana wajinga ila baadae vikikaa sawa ndio mnaona aah, sasa kutana na wa fikra fupi kama wewe unayengangania kubaki hivyo na nguvu za kuendeleza huna na jirani zako wanakuzidi wanapiga hatua kila kukicha wewe umebakia wakubwabwaja tu .
 
Kama IGA ni between two sovereign states basi tunaweza kuchomoka maana Dubai ni sehemu tu ya United Arab Emirates ambayo pia ina majiji mengine kama Abu Dhabi yanayounda nchi hiyo.

This means Mkataba halali ulipaswa kuwa kati ya UAE na Tanzania na si Dubai na Tanzania.

Tusubiri tuone mahakama itaamuaje maana pia Sheria ya Maliasili imekiukwa ambayo inasema kugawana faida 50/50 na investor day one ya uzalishaji. Sasa hapa DPW Dubai wamelamba 100% Tanzania 0%, kweli Bulicheka kwenye safari zake za Dubai kaenda kutuuza wagagagigikoko mchana kweupeeee!

Nafikiri alievujisha huu Mkataba alikuwa na motives nyingi just my political science guess

1. Alitaka wabongo waone Rais mwanamke hana akili ya uongozi , yaani Bimkubwa hana akili ya kusoma na kuelewa mikataba mizito. Ila akili ya kuekti movie na kuendesha magari mbugani anayo.
2. Kwamba Rais muislam hana akili
3. Kwamba Rais mzanzibari Hana akili
4. Kwamba urais wa TZ si saizi ya Mama! Kwake ni Oversize boot! Maana pia tukumbuke hakuchaguliwa kwa sanduku la kura.
5. Kwamba Safari zingine za Rais huleta majanga nchini bora ya Magu alijikalia zake chato hakwenda nje kuokota mabalaa na kuletea raia
6. Kwamba Raia tujue Tanzania inaibiwa sana na wageni na tunaowezesha Hilo ni sisi wenyewe kwakuwa hatuna akili Wala uzalendo
7. Kwamba Huyu mtu alievujisha mkataba ni mtu WA ndani kabisa wa Cabinet akimchonganisha Mama na wananchi Ili wamchukie na pia Huyu mtu anautaka Urais wa bongo kwa udi na uvumba na lazima ni kijana anaeona Mama hatoshi , just with my guts
8. Kwamba Mama ni mzenji anawapa wajomba zake waarabu Mali zetu wadanganyika tukose wote ana hasira na chuki na Tanganyika na anatukomoa machogo kwa kuikalia Zenji kwa nguvu kupitia muungano.
9. Kwamba yeye ni Rais na Yuko juu ya Sheria anafanya analojisikia
10. Kwamba nchi nzima mwenye akili ni yeye tu!!
Kwamba katiba ya sasa haitoshi. ..(nimeongeza)
Ila uko mule mule.
Ila tukubari tu kwamba ccm ni genge flan la wapigaji katika nchi ya majinga mengi.
Mi simshangai anayeisupport ccm leo ila namhurumia sana na kumdharau sana asiye na maslahi ya kiuchumi katika kuisupport!
 
Back
Top Bottom