Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Siyo kesho tena bali tuanze sasa!
Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.
Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae kwa gharama yeyote!
Rais Samia aelezwe bila haya kwamba HUO MKATABA NI BATILI NA USIO NA MANUFAA KWA TANGANYIKA YETU.
Na hao baadhi ya Watanganyika wenzetu wanao tuasi kwenye hilo naomba itafutwe namna bora ya kuwalazimisha warejee kwenye mstari.
Mheshimiwa Mbowe lisimamie hilo na tunakutegemea.