Watanganyika wote tuungane tulikatae hilo la waarabu

Watanganyika wote tuungane tulikatae hilo la waarabu

Siyo kesho tena bali tuanze sasa!

Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.

Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae kwa gharama yeyote!

Rais Samia aelezwe bila haya kwamba HUO MKATABA NI BATILI NA USIO NA MANUFAA KWA TANGANYIKA YETU.

Na hao baadhi ya Watanganyika wenzetu wanao tuasi kwenye hilo naomba itafutwe namna bora ya kuwalazimisha warejee kwenye mstari.

Mheshimiwa Mbowe lisimamie hilo na tunakutegemea.
Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa wangu waislamu nisameheni sijawahi kuwa mbaguzi nawapenda sana tu ila

"hakuna rais mkiristo kutoka bara ambae angejaribu kuuza bandari kwa waarabu hakuna kitu kama hicho"
Huna akili wewe,wazazi wako wana hasara kubwa sana,

Unasema: "Hakuna rais mkiristo kutoka bara ambae angejaribu kuuza bandari kwa WAARABU"

Kwahiyo tatizo lako hapo ni Waarabu? Tatizo lako ni nani kauziwa bandari? Kwahiyo angeuziwa Mzungu wewe ungeona sawa? (Kama kweli issue ya kuuza ipo) Una maanisha rais mkristo yeye angeuza kwa WAZUNGU?

Umeandika comment ya kipumbavu sana ambayo inawakiliza akili zako na uwezo wako wa kufikiri,hii sio issue ya kuhusisha race au dini.
 
Huu upepo tu utapita na mtakuja sahau kila kitu

Ova
 
Siyo kesho tena bali tuanze sasa!

Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.

Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae kwa gharama yeyote!

Rais Samia aelezwe bila haya kwamba HUO MKATABA NI BATILI NA USIO NA MANUFAA KWA TANGANYIKA YETU.

Na hao baadhi ya Watanganyika wenzetu wanao tuasi kwenye hilo naomba itafutwe namna bora ya kuwalazimisha warejee kwenye mstari.

Mheshimiwa Mbowe lisimamie hilo na tunakutegemea.
Baada ya hapo tuje na muungano pia , Hawa akina yaheeeee warejee kwao
 
Mama angekaa tu kama interim president bila kufanya maamuzi makubwa kama hili la kuuza bandari, maana hakuchaguliwa kwenye nafasi hiyo kwa kura za wananchi.
 
Tupinge hili kwa nguvu na kwa hoja ili kutetea vizazi vijavyo.
Ila tukumbuke tuna bunge dhaifu sana tena la ccm watupu lenye kujaa harufu ya 'kile kitu kdg'
 
018100094042.JPG
 
Huna akili wewe,wazazi wako wana hasara kubwa sana,

Unasema: "Hakuna rais mkiristo kutoka bara ambae angejaribu kuuza bandari kwa WAARABU"

Kwahiyo tatizo lako hapo ni Waarabu? Tatizo lako ni nani kauziwa bandari? Kwahiyo angeuziwa Mzungu wewe ungeona sawa? (Kama kweli issue ya kuuza ipo) Una maanisha rais mkristo yeye angeuza kwa WAZUNGU?

Umeandika comment ya kipumbavu sana ambayo inawakiliza akili zako na uwezo wako wa kufikiri,hii sio issue ya kuhusisha race au dini.
Sawa wazazi wangu wana hasara ila usijizime data kumbuka mkataba huu hauihusu zanzibar unajuwa kwa nini? Think big, narudia tena raisi mkristo kutoka bara asingewauzia waarabu wakomba zake bandari
 
kuna watu wengine wa Tanganyika ni weusi ila wana wazazi wao waarabu ngoja waje
 
DP World ndio kampuni yenye uzoefu mkubwa kwenye uwekezaji katika Bandari.

Tayari imesha wekeza katika nchi 6 Barani Afrika na hata kwenye bara la ulaya.

Tanzania hatuna haja ya kuwa na wasiwasi.

tuache upotoshaji.
 
Back
Top Bottom