Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Kwenye mbowe umeharibu mkuuSiyo kesho tena bali tuanze sasa!
Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.
Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae kwa gharama yeyote!
Rais Samia aelezwe bila haya kwamba HUO MKATABA NI BATILI NA USIO NA MANUFAA KWA TANGANYIKA YETU.
Na hao baadhi ya Watanganyika wenzetu wanao tuasi kwenye hilo naomba itafutwe namna bora ya kuwalazimisha warejee kwenye mstari.
Mheshimiwa Mbowe lisimamie hilo na tunakutegemea.
Nilivyomsikiliza jana kwenye hilo hakika yu pamoja nasi Watanganyika wenzakeMbowe huyuhuyu mlamba asali!!? 🙄
Kwenye hilo mheshimiwa Mbowe yupo makini rejea hotuba yake ya janaKwenye mbowe umeharibu mkuu
Akili ndogo inamuwaza mboweMbowe huyuhuyu mlamba asali!!? [emoji849]
Ni vile hajapewa asali tu, hamna mtu pale!Nilivyomsikiliza jana kwenye hilo hakika yu pamoja nasi Watanganyika wenzake
mbowe ❌️mbowe
Wapendwa wangu waislamu nisameheni sijawahi kuwa mbaguzi nawapenda sana tu ila
"hakuna rais mkiristo kutoka bara ambae angejaribu kuuza bandari kwa waarabu hakuna kitu kama hicho"
Wapo bize na feitotoSiyo kesho tena bali tuanze sasa!
Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.
Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae kwa gharama yeyote!
Rais Samia aelezwe bila haya kwamba HUO MKATABA NI BATILI NA USIO NA MANUFAA KWA TANGANYIKA YETU.
Na hao baadhi ya Watanganyika wenzetu wanao tuasi kwenye hilo naomba itafutwe namna bora ya kuwalazimisha warejee kwenye mstari.
Mheshimiwa Mbowe lisimamie hilo na tunakutegemea.
Mnada sasa tuandike wapi!!!Siyo kesho tena bali tuanze sasa!
Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.
Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae kwa gharama yeyote!
Rais Samia aelezwe bila haya kwamba HUO MKATABA NI BATILI NA USIO NA MANUFAA KWA TANGANYIKA YETU.
Na hao baadhi ya Watanganyika wenzetu wanao tuasi kwenye hilo naomba itafutwe namna bora ya kuwalazimisha warejee kwenye mstari.
Mheshimiwa Mbowe lisimamie hilo na tunakutegemea.
[emoji120]Popote ulipo Mtanganyika
Fahamu unatetea watoto na wajukuu wako na wewe mwenyewe, hakikisha haukubali utapeli wa viongozi na ccm wa kuuzwa kwa bandari yetu, andika maneno Bandari yetu kushinikiza bunge kutoruhusu kabisa ujinga wa kuuzwa au kukodishwa bandari yetu, ni utumwa na ufinyu wa fikra kwa viongozi waliokosa ubunifu,
1-Bandari yetu ibaki
2-Bandari yetu ibaki
3-Bandari yetu ibaki
4-Bandari yetu ibaki
5-Bandari yetu ibaki
6-Bandari yetu ibaki
7-Bandari yetu iBaki
8-Bandari yetu ibaki
9-Bandari yetu ibaki
10-Bandari yetu ibaki
Watanganyika endeleeni kutoa maoni yetu kulishinikiza Bunge kutobariki hivo vituko,
Ona hii kobeSamia tia pamba piga gia usiangalie nyuma.
Kenge kabisa.
Ni vile hajapewa asali tu, hamna mtu pale!