Watanganyika wote tuungane tulikatae hilo la waarabu

Isingewezekana hata siku moja kubinafsisha bandari, Nyerere aliiacha, , mwinyi aliiacha, mkapa aliiacha, kikwete aliiacha, magufuli hata huo ujinga usingetokea, huyu anabinafsisha bandari ya nini?
Kwanini asingesubiri tumchague kwanza?
 
Kama wanataka kuiharibu hii nchi, waendelee na huo mpango wa kuiuza nchi.., nchi itaharibika hii jamani
 
Hawa wazanzibari wana agenda mbaya sana na watanganyika, ipo kila sababu sasa Jeshi lisimame na kutoa kauli dhidi ya huu ushenzi
 
Samia Suluhu vaa noise cancelling headphones ongezea na ear plugs ongeza spidi utaeleweka baadae.
 
Wazungu wana hunting blocks kibao maporini mbona haulalamiki acheni udini.

Waarabu pia wanahaki ya kula vya mjinga. Why not.
lakini sio waharibifu kama waarabu. sasaivi wamehamisha mbuga ipo uarabuni. wazungu wamehamisha wapi mbuga? hao waarabu sijui huwa wanawafanya nini hadi mnawaabudi hivyo.
 
lakini sio waharibifu kama waarabu. sasaivi wamehamisha mbuga ipo uarabuni. wazungu wamehamisha wapi mbuga? hao waarabu sijui huwa wanawafanya nini hadi mnawaabudi hivyo.
Nenda Ulaya na Marekani na Canada Ma Zoo yalivyojaa Wanyamapori wa Afrika ndugu, tembea uone acha kujifungia Kijijini kwako na kuhadithiwa na Wamasai.

Nenda Yemen hakuna hata Mnyama wako mmoja nenda Iraq hata Digidigi wako mmoja hakuna.
 
Madhara ya kuongozwa na majitu ya kurithi yanatuharibia sana nchi yetu.linaacha kuuza bandari yao kule linauza ya bara.Hii haikubaliki kabisa
 
Kiukweli mm sio mtu wa kufatilia siasa ila hili jambo limeniuma sana😭😭
 
Kwa hili la mkataba wa bandari kuingia na Dubai dp nchi imezizima watu hawataki hiyo kitu .
 

Tuache ujinga! Hizi kuna mtu kaiba Tanzania kama Sukuma gang Chenge! naye alikuwa mwarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…