We unajua mtu akifanya kazi azam basi ndo ana mihela ila ukweli wanalipwa hela ya kawaida sana pale azam malipo hayaendani na brand.
Kweli kabisaWanavaa local sana,
Wakanunue hata mitumba
Mishahara yao haituhusu hili ni swala la kulinda Brand yao Kama media hii no fedheakweli kabisa,
Kwahiyo mwanaume anatakiwa kuwa rafu?Kwa hiyo kurundika nguo za kubadili kila siku ndo umeona akili, kama wewe ni demu naweza kukuelewa ila kama ni men utakuwa mchele......
WabadilikeKikao cha dharura kitaitishwa.
Natoa pale ninapoangalia vipindi vyaoMkuu huo Muda wa kuwafuatilia unatoa wapi? Tuanzie hapo kwanza
Kuwa na nguo chache ndo kuwa rafu, unatakiwa kuwa nazo ngapi ndo uonekane smart........unaleta udaku JF? itabidi mods. mfanye utaratibu jukwaa tayari limeingiliwa na watoto.......Kwahiyo mwanaume anatakiwa kuwa rafu?
Kwanza we ni jinsi gani kabla ya yote? Usiulize jinsi ni nini, najua ushazoea kusikia " jinsia" which is wrongly used kama nomino.Acha ushamba Basi wewe mnyaturu kumbuka Ile ni media na pia vipindi wanavyofanya ni tv shows so wanatakiwa kuwa nadhifu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kitu kinatafutwa hapa lol.Kwanza we ni jinsi gani kabla ya yote? Usiulize jinsi ni nini, najua ushazoea kusikia " jinsia" which is wrongly used kama nomino.
Nimeuliza jinsi kwa sababu kama ni mtoto wa kiume nitashangaa unapataje muda aisee mpaka wa kugundua hilo. Ila, kama ni mtoto wa kike sawa sitashangaa. Inawezekana ukawa ni mvulana au binti.
Sisi tunaoangalia tv Imaan kila siku kanzu nyeupe peeee! Si utasema hawavai nguo kabisa?Sio uchawi mkuu Mimi ni mfatiliaji Sana wa vipindi vyao na Kiukweli ni vipindi vizuri sana tatizo pamba babaaa Yani pamba hzohizo daily basi Bora hata waazime sikumoja moja au wawekewe uniform Kuna mmoja analifulana la picha ya ramani basi wiki haipiti kaivaa dah shida Sana
Utoto unaleta wewe sababu huna upeo jaribu kujua content ya mada husika usmart ni unadhifu na unadhifu unajumuisha usafi na ubora wa mavazi kwa maana ya kupendeza.kila sehemu inautaratibu unaoendana na sehemu husika inaweza kuwa rasmi au uliozoeleka.Kuwa na nguo chache ndo kuwa rafu, unatakiwa kuwa nazo ngapi ndo uonekane smart........unaleta udaku JF? itabidi mods. mfanye utaratibu jukwaa tayari limeingiliwa na watoto.......