Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

Some time Kuna kipindi kinarekodiwa halfu kinawekwa episode mbili sasa wewe Unaweza ukadhan wamerudia nguo
 
Mbona mimi sioni kero yoyote, kwani unaangalia mavazi au maudhui ya vipindi vyao. Daah kuna mambo yanachekesha sana
 
Mtu ukiwa na njaa,ni lazima kila kitu utakiona,
Maana muda wote unakodoa macho tu,kwa kuwa unakuwa huna cha kufanya, yaani inafikia muda unahesabu mpaka misumari ya bati ilivyogongelewa
🥱🤣🙄🤣
 
Inatubidi tuseme hayo yandani wanajua wenyewe sisi Kama wadau tunafursa ya kushauri na kutoa maoni yetu haiwezekani media Kama azam tv washindwe hadi na wasafi tv katika utaratibu wa mavazi.
Umewasemea waandishi na si chombo, from that point ukiona wanapendeza daily tutajua ni JF, japo hawatakuja kushukuru.
 
Some time Kuna kipindi kinarekodiwa halfu kinawekwa episode mbili sasa wewe Unaweza ukadhan wamerudia nguo
Hapana mkuu unakuta ni kipindi kipya na unajua hvyo sababu kipindi huwa kinaelezea matukio ya wiki husika huwezi kurekodi kipindi Cha matukio ndugu kabla ya wakati husika sijui unanielewa hapo maana yangu haiwezekani kwa utaratibu wa kipindi mfano Cha ndani ya boksi kurekodi double kwa hiyo hoja hiyo haipo.

Hawa huwa wanarudia nguo tu kwa sababu hakuna utaratibu mzuri wa usimamizi wa mavazi
 
Kama nguo zipo safi kwani kuna shida gani!
 
Wewe unazo nguo ngapi unazobadilisha kwa wiki! Mbona kila wiki huwa unaonekana umevaa nguo hizo hizo.
 
Moja ya sehemu hiyo ni kuwa na mdhamini wa kuweza kuwavalisha na azam tv kwenye maswala ya udhamini wa kutoka nje ni mtihani sana
 
Moja ya sehemu hiyo ni kuwa na mdhamini wa kuweza kuwavalisha na azam tv kwenye maswala ya udhamini wa kutoka nje ni mtihani sana
Waanzishe kampuni yao ya mavazi Kama hawataki udhamini kutoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…