Huyu ni kada wa CCM na inawezekana hata kazi kapata kwa sababu ya ukada wake, na kada mzuri wa CCM lazima atamtetea Abdul na mama Abdul.Huyu Dada Clouds wamemtoa wapi mbona kama Hana akili kabisa
Hapa jf kuna kada alitoa uzi kum ridicule Lissu kusema kuwa Abdul alimletea hela, ndio kazi yao kutetea chochote hata kama ni rushwa zinazotokana na viongozi wao.