Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

Tundu Lissu: Hapana, kwanini unaruhusu nitaje jina la mwenyenyiki nitaje jina la nani lakini hutaki nitaje jina la waovu hawa?
Kijakazi Yunus:😴😴😴😴😴
 
Washajua mamlaka inataka nini, huyo Kijakazi hapo alikuwa anatuma CV yake kijanja. Mamlaka itamtunuku uteuzi very soon.

Unaona wazi kabisa hakuamini anachokiongea wala hakuwa na ujasiri wa kukitetea, alikuwa anabwata ili tu aonekane anamdhibiti Lissu.
Watu wa intellegence... M zoom Dodoma mtamkuta ametupia kijani
 
Back
Top Bottom