Huyu ni kada wa CCM na inawezekana hata kazi kapata kwa sababu ya ukada wake, na kada mzuri wa CCM lazima atamtetea Abdul na mama Abdul.Huyu Dada Clouds wamemtoa wapi mbona kama Hana akili kabisa
Worst media in TanzaniaClouds Media imejitia aibu sana
Upumbavu katika ubora wake, kuna hoja na ushahidi wa video ukionyesha ushahidi wa hiyo hoja, badala ya kujenga hoja kupangua unaleta vihoja.Lissu akiwa anafanya siasa za uongo na utapeli.
View attachment 3204134
Well saidukishajua hana akili pigilia tu mstari kwamba anatoka ccm
ChupiAmepataje hivyo kazi?
Wapo wengine wazuri kama Kitenge, John Marwa anaweza kuwa top presenter akipunguza longolongo. Maswali yake yawe brief and to the point. Ila huwa anauliza maswali mazuri sana.Kiboko ya mtangazaji kwenye mahojiano ni Ondemba wa star tv
Lisu amewashika akili mmekuwa kama mapoyoyo.Upumbavu katika ubora wake, kuna hoja na ushahidi wa video ukionyesha ushahidi wa hiyo hoja, badala ya kujenga hoja kupangua unaleta vihoja.
Ndio maana Lissu amesema kuna mgombea gani mwingine amekemea rushwa? Mbowe hawezi kukemea rushwa, na wapambe wake hawawezi kukemea rushwa, wote wameoza MORALLY ROTTEN
Alikuwa presentar wa Bolingo Bolingo EATV 😂Huyu Dada Clouds wamemtoa wapi mbona kama Hana akili kabisa
Mbowe amewashika akili mmekuwa wapumbavu kabisa, uwezo wa kufikiria umekwisha kwenu wajinga.Lisu amewashika akili mmekuwa kama mapoyoyo.
Katiba ya Chadema inampa makamu mwenyekiti mamlaka ya nidhamu, je Lisu aliwahi kufanya nini?
Mwenyekiti wa Chadema siyo mamlaka ya nidhamu.
Hahahaaaaaaaaaaaaa!!!Lissu akiwa anafanya siasa za uongo na utapeli.
View attachment 3204134
Kila siku nasemaga namwambia mwenangu KIja Yunus hafai kuongoza hicho kipindi .mfatilie tu utaona hana ajualo ..sijui Baby Kabae yuko wapi!Huyu Dada Clouds wamemtoa wapi mbona kama Hana akili kabisa
Wewe unazo?Huyu Dada Clouds wamemtoa wapi mbona kama Hana akili kabisa
CCM ni nyumba ya wajinga, wanafiki, machawa, waviziaji teuzi na wala rushwa.Huyu ni kada wa CCM na inawezekana hata kazi kapata kwa sababu ya ukada wake, na kada mzuri wa CCM lazima atamtetea Abdul na mama Abdul.
Hapa jf kuna kada alitoa uzi kum ridicule Lissu kusema kuwa Abdul alimletea hela, ndio kazi yao kutetea chochote hata kama ni rushwa zinazotokana na viongozi wao.
Sio wadake watoa rushwa. Lissu ataenda Mahakamani kutoa UshahidiTakukuru mdakeni Lissu mpate pa kuanzia... anasema ana habari kamili itawasaidia juu ya rushwa ya Abdul kutaka kumpa hela kwa gunia.
Sina kama wewe tu lakini yeye hana kabisaWewe unazo?