Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwani mafundisho ni lazima yawe kwenye kitabu?Imo ndani ya KITABU chao cha Biblia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mafundisho ni lazima yawe kwenye kitabu?Imo ndani ya KITABU chao cha Biblia?
Mmmh Lulu hassan! Hivi kujistiri ni kuficha nywele tuu!!??? Maana hayo magauni ya huyo lulu yanaonesha mophology yoote aliyopewa na Muumba..Sidhani kama ni kweli.
Citizen TV ya Kenya iliyo bora ukanda wa East Africa wanaachia Kina Lulu Hassan siku zote wakijimwaga
Yote kwa yote ni haki yao Kugoma kama wamelazimishwa Kukaa vichwa wazi.
Naunga mkono Maamuzi yao na Mungu awazidishie kwa kujitambua na Kutaambua Maamrisho ya Allah
Njoon Lindi huku muone wadada na hijabu zao wapo bar na bia zao zinashuka tartiiibu...wakati iman yake na vazi lake vinamkataza kukaa bar.Tunapoteza muda kujadili post au vitu visivyo na tija katika maisha yetu!kwani kuvaa hijab ndo kutakufanya uonekane mtakatifu au mcha Mungu sana?tunakoelekea tutaanza kujadili masuala ya nani anahaki ya kuchinja!na nani hana haki!upuuuuzi tu!
Huko ni Misri sie twazungumza Tanzania yetuMbona hata majeshini wanavaa hijab Google jeshi la Misri uone
Kuvaa hijab au kujihifadhi mwanamke ni shurti, lakini hao wa hijab ya siku 30 halafu baada ya hapo wanarudi kwenye vimini na mipasua haingii akilini. Mwenyezi Mungu hajasema wanawake wajihifadhi ktk mwezi wa ramadhan tu.(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
issue sio linafungwaje na wala sio issue ya kupendeza,kazi ya msingi ya hijab ni stara,kupendeza ni secondary function,kama ni kweli vazi hilo limekatazwa kuna hoja ya kujadili,lakini ni ngumu kidogo kujadili tetesi.Kama ni kweli,Jana nilimwona Asha Haji katupia hijab nyekundu.Kiukweli alikua hajapendeza kabisa, na huenda kuna watu walitoa taarifa uongozi wa TBC, kwani aliifunga ka mtu ambaye hajui inafungwaje na kuvaliwaje.
Nadhani inabidi Zuhra Yunus apewe mchongo wa kuwafundisha jinsi ya kuifunga. kwani hata tai sio kila mtu anajua kuifunga.
Kwanini wajifanye kuvaa siku za mfungo tu? Kwanini wasivae siku ZOTE?
Nani hao wasiojisitiri eneo la kazi? Sijaona anayekwenda kazini tena ofisini ya serikali mtupu.(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)