Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni kama vile hakuna mamlaka ya kupima ubora wa hivi vyombo vya habari. Mwandishi R na L zinamsumbua, anauliza maswali ya kipumbavu mara kwa mara yaani hovyo kabisa.Mkuu, mimi nazungumzia kuhusu upotoshwaji wa maudhui na ubora mdogo wa matangazo unaochangiwa na uwepo wa makanjanja wengi wengi kwenye vyombo hivi vya habari. Na jambo hili nimelifanyia utafiti, sijakurupuka. Wakati mwingine mtu unaona bora upate taarifa sahihi hapa JF au kwenye mitandao mingine ya kijamii kuliko kusikiliza redio na TV zinazoboa na kupotosha taarifa.