ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
kwanza wanapewa official list ta wachezaji wote kwa namba hivyo huangalia namba zao za mgongoni,kadri wanavyowazoea ndivyo wanawataja haraka kwa kiwatambuaNina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja wakichanganyika nashindwa kuwaona vizuri nawaona wadogo siwezi kuwatambua je kuna software wanatumia inawonyesha majina au wanatumia mbinu gani?
Zamani tulisema eti anapewa list kisha kila mchezaji akipewa mpira anacheki number yake ya mgongoni na kuiangalia kwenye list yake.Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja wakichanganyika nashindwa kuwaona vizuri nawaona wadogo siwezi kuwatambua je kuna software wanatumia inawonyesha majina au wanatumia mbinu gani?
Kisha anauchora uwanja kwa kuweka kila mtu ktk position yake ..inamsaidia kujua upande wa kule kulia ni Yao ,jezi namba fulankwanza wanapewa official list ta wachezaji wote kwa namba hivyo huangalia namba zao za mgongoni,kadri wanavyowazoea ndivyo wanawataja haraka kwa kiwatambua
Ikiwemo kuuchora uwanja na kuweka position za kila mchezajiHawa hapa jamaa kwenye chumba chao. Wanaweza kushika majina ya wachezaji kwa sababu wanawajua wachezaji kwa maumbo, sura, hair style au hata ukimbiaji wao. Nadhani zipo mbinu nyingi kurahisisha wao kuwatambua wachezaji
kuna mtangazaji wa tbc anatangaza kwa weredi sana.Utangazaji wa kutangaza kila movement ya mpira unatoka kwa huyu kwenda kwa yule mechi nzima kama vile uko redioni ambao bado inafanywa na Azam umepitwa na wakati.
Utangazaji wa kisasa ni wakati mchezo unaendelea, kutoa tathmini ya mchezo ulivyo, uchezaji wa timu na mchezaji mmoja mmoja hasa pale anapohusika katika tukio la mchezoni, taarifa muhimu za nyuma zinazohusiana na mchezaji au timu zinazoendana na matukio ya mchezoni na kuchanganya na kutangaza movement za mipira (hiko kinachofanywa kiasi kikubwa na watangazaji wetu) kwa kiasi fulani wakati mchezo unaendelea
Safi sana. Anaitwa nani?kuna mtangazaji wa tbc anatangaza kwa weredi sana.
Hufanya hivyo pia, pasi imetoka hapa kwenda hapa hiyo kila mtu anaona ila kuna vijitaarifa kuhusu mchezaji, timu kocha ndo vinavutia zaidi.
Sijamkalili jina ila lazima ile fainali atatangaza yeye.Safi sana. Anaitwa nani?
Sawa ila anatakiwa asiwe mpiga porojo. Inatakiwa taarifa anazoshare ziwe na maana, siyo vitu randomSijamkalili jina ila lazima ile fainali atatangaza yeye.
huwa anaelezea historia za wachezaji kwa ufupi na zinaeleweka na pia hana story nyingi zisizohusu mpira kama ilivyo kwa watangazaji wengi wa azam.
Yuko njema mkuu, sio mpiga porojoSawa ila anatakiwa asiwe mpiga porojo. Inatakiwa taarifa anazoshare ziwe na maana, siyo vitu random