Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja wakichanganyika nashindwa kuwaona vizuri nawaona wadogo siwezi kuwatambua je kuna software wanatumia inawonyesha majina au wanatumia mbinu gani?
 
kwanza wanapewa official list ta wachezaji wote kwa namba hivyo huangalia namba zao za mgongoni,kadri wanavyowazoea ndivyo wanawataja haraka kwa kiwatambua
 
Watangazaji huwa wanafuatilia sana game nyingi lakini pia wanawaona daily so wanaweza kuwakumbuka.

Mfano we huifuatilii mtibwa sugar kwa sababu labda unacheki game ya yanga au simba tu so ni ngumu sana.
 
Ile lineup ya kikosi husika inapopangwa tu pale.anakua nayo mkononi tayari.
Wakati huo ukumbuke mtangazaji wa mpira ndio kazi yake kila siku kufuatilia mpira. Hivyo inakua lahisi kujua mpira ukienda upande fulani au namba ya mgongoni inamuelekeza kujua sasa mpira anao nani.
 
Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja wakichanganyika nashindwa kuwaona vizuri nawaona wadogo siwezi kuwatambua je kuna software wanatumia inawonyesha majina au wanatumia mbinu gani?
Zamani tulisema eti anapewa list kisha kila mchezaji akipewa mpira anacheki number yake ya mgongoni na kuiangalia kwenye list yake.

Lakini sivyo kabisa. Kuna vitu kama kimo, position, unene, hair style, etc. Watangazaji huchukua muda kuwasoma hivi vitu, pia ni watu wanaowatangaza kila siku hivyo wamewakariri au wanawajua tu.
 
Hawa hapa jamaa kwenye chumba chao. Wanaweza kushika majina ya wachezaji kwa sababu wanawajua wachezaji kwa maumbo, sura, hair style au hata ukimbiaji wao. Nadhani zipo mbinu nyingi kurahisisha wao kuwatambua wachezaji
 
Attachments

  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    50.4 KB · Views: 10
  • images (11).jpeg
    images (11).jpeg
    47.8 KB · Views: 10
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    6.2 KB · Views: 11
kwanza wanapewa official list ta wachezaji wote kwa namba hivyo huangalia namba zao za mgongoni,kadri wanavyowazoea ndivyo wanawataja haraka kwa kiwatambua
Kisha anauchora uwanja kwa kuweka kila mtu ktk position yake ..inamsaidia kujua upande wa kule kulia ni Yao ,jezi namba fulan
 
Utangazaji wa kutangaza kila movement ya mpira unatoka kwa huyu kwenda kwa yule mechi nzima kama vile uko redioni ambao bado inafanywa na Azam umepitwa na wakati.

Utangazaji wa kisasa ni wakati mchezo unaendelea, kutoa tathmini ya mchezo ulivyo, uchezaji wa timu na mchezaji mmoja mmoja hasa pale anapohusika katika tukio la mchezoni, taarifa muhimu za nyuma zinazohusiana na mchezaji au timu zinazoendana na matukio ya mchezoni na kuchanganya na kutangaza movement za mipira (hiko kinachofanywa kiasi kikubwa na watangazaji wetu) kwa kiasi fulani wakati mchezo unaendelea
 
kuna mtangazaji wa tbc anatangaza kwa weredi sana.
Hufanya hivyo pia, pasi imetoka hapa kwenda hapa hiyo kila mtu anaona ila kuna vijitaarifa kuhusu mchezaji, timu kocha ndo vinavutia zaidi.
 
Safi sana. Anaitwa nani?
 
Sijamkalili jina ila lazima ile fainali atatangaza yeye.

huwa anaelezea historia za wachezaji kwa ufupi na zinaeleweka na pia hana story nyingi zisizohusu mpira kama ilivyo kwa watangazaji wengi wa azam.
Sawa ila anatakiwa asiwe mpiga porojo. Inatakiwa taarifa anazoshare ziwe na maana, siyo vitu random
 
Hawa wa Tz naonaga wanatesekagaa, hususani kwenye kosa kosa....lkn Ulaya taratibu tu...De bren,Halland,Fodeni,ooohh goal.Bongooooo Sasa hahaa
 
Back
Top Bottom