ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja wakichanganyika nashindwa kuwaona vizuri nawaona wadogo siwezi kuwatambua je kuna software wanatumia inawonyesha majina au wanatumia mbinu gani?