Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Na hapo wanamuhoji rais aiseeee...Hatari na nusu mkuu,hao jamaa hawapaki mafuta mtu wako huru vibaya mno.
Wanauliza swali lolote na hawajali mood ya muulizwaji ,bongo hata 10% hatujawafikia
Mkuu hata hao waKenya wakija Tanzania hawawezi kufunguka hivyo, pale wanafunguka kwa sababu wanajua wanalindwa na wananchi na sheria.Wakina nani mfano?
Hii interview yeye ndio aliomba afanyiwe according to James smart wa Nation mediaNa hapo wanamuhoji rais aiseeee...
Na kingine mpaka rais akubali jua nae kajipanga
Tunataka Siasa za kuwajibishana sio Siasa za kusifia sifia.Shida inakuja kwenye uchawa, kama umewasikiliza wale jamaa utagundua wale sio levo za hapa Africa
Ndio maana international media Kama CNN, BBC,sky news wanachukua Sana journalist wa Kenya they're very neutral and non partisanShida inakuja kwenye uchawa, kama umewasikiliza wale jamaa utagundua wale sio levo za hapa Africa
Pascal MayallaSisi huyu Pascal Mayalla kama hajapewa Bahasha anaweza kidogo.
Aisee ni media za bongo zinatia kinyaa.Mchimba Chumvi ukifatilia mahoji fulani hivi... Ni kiongozi mkubwa hapa serikali akaulizwa
""Mheshimiwa unawashauri nini vijana wanaopenda mashangingi""""
Sasa assume hawa ndo watangazaji wetu
Hawa jamaa ni hatarii..Hii interview yeye ndio aliomba afanyiwe according to James smart wa Nation media
Ila vijana wanaomaliza chuo na degree wapo wengi ila wamewekwa pending mkuuAisee ni media za bongo zinatia kinyaa.
Mtu kwenye interview anaongea peke yake mara serikali imefanya hiki mara kile bila evidence na mwandishi wala hashughuliki kudadisi,wezetu Kenya huko wametoka zamani sana
Hata hio sio shida ,huwezi kuwa competent kwenye media za kusaga na majizo wanaovaa kanzu za kijani.Ila vijana wanaomaliza chuo na degree wapo wengi ila wamewekwa pending mkuu
NI LAANA FOR SURE.Mwandishi mmoja wa habari wa Kenya ni sawa na waandishi wa habari wa tano wa Tanzania tena walevi.
Mwandishi wa habari maarufu wa CNN kutoka Kenya Larry Madowo alipata hadi nafasi ya kumhoji bilionea wa Afrika Aliko Dangote.
Waandishi wa habari wa Tanzania kutwa kucha kusifia ccm na kuendekeza uchawa.!!
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Hacha kumfedhehesha ndg. Pascal MayallaSisi huyu Pascal Mayalla kama hajapewa Bahasha anaweza kidogo.
10% kubwa sana,zero %Hatari na nusu mkuu,hao jamaa hawapaki mafuta mtu wako huru vibaya mno.
Wanauliza swali lolote na hawajali mood ya muulizwaji ,bongo hata 10% hatujawafikia