Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

Nakuunga mkono hoja, ingawa Pascal Mayalla namwona kama ni miongoni mwao. Mnakumbuka wakati ule wa JPM alimuuliza swali similar na maswali ya hao waandishi wa habari waliokuwa wakimhoji Rais Ruto. Pascal alijieleza vizuri na hata alivyoliweka swali lake lilimpa credit. Hatuna waandishi wengi wa aina hii.
 
Nakuunga mkono hoja, ingawa Pascal Mayalla wakati ule wa JPM alimuuliza swali similar na maswali ya hao waandishi wa habari waliokuwa wakimhoji Rais Ruto.
Ha ha haaa, mbavu zangu, mkuu mbona una utani mbaya sana...ha ha haaa!
Pascal alijieleza vizuri na hata alivyoliwrka swali lake lilimpa credit. Hatuna waandishi wengi wa aina hii.
Samahani lakini mkuu kwani naamini unatania. Hata hivyo umenichekesha kweli kweli...ha ha haaa!
 
Tatizo ni elimu.Quality ya elimu yetu ni extremely poor pamoja na kwamba zipo nia za makusudi za kushusha IQ yetu.
 
Ha ha haaa, mbavu zangu, mkuu mbona una utani mbaya sana...ha ha haaa!

Samahani lakini mkuu kwani naamini unatania. Hata hivyo umenichekesha kweli kweli...ha ha haaa!
Dah! Mkuu mbona umecheka hivyo? Please share.
 
Ha ha haaa, mbavu zangu, mkuu mbona una utani mbaya sana...ha ha haaa!

Samahani lakini mkuu kwani naamini unatania. Hata hivyo umenichekesha kweli kweli...ha ha haaa!
Paschal sio quality ya wanahabari ambao ningependa kuona.Ku-report matukio sio journalism.I normally want to here what is behind the news and investigative journalism.
 
Nitafungua media one day I am sure no politician would like it, na itakuwa mahakamani kila mwezi ikiishtaki mamlaka kuifungia kinyume na sheria
 
Hivi kitenge anaweza kumuhoji mtu kama dangote...siyo dangote
Diamond yaani aliko dangote
Sana sana atamuliza tu simu gani anatumia na thamani yake ikoje 😄

Ova
 
Wanahoji bila FACTs halafu unataka tuwaige?
 
wangekuwa bongo wale, nakuhakikishia wangeokobwa mbuga ya katavi hawana meno wa wamepigwa risasi ya kichwa, kama mamba na fisi wangekuwa hawajawatafuna.
 
Kabra yakutukana na kuzalau watangazaji wa Tz anza kwanza kwa kutukana na kuzalau watumiaji wa ivyo vyombo wananchi
90% ya wananchi huo ujinga ndo wanapenda na watangazaji wanafanya kile wananchi wanapenda

Mimi sio mtu wa tv na kufuatilia mambo kivile ila nakumbuka kuna kipind. Itv ilikua na watangazaji wa maana sana na walikua wanahoji vtu vya maana na ata star tv nakumbuka sjui waliishia wap au walibadilika kuendana na matakwa ya watazamaji
 
Unataka awe chanzo cha mabadiliko ili mumpoteze??? Mifano ya mliowapoteza hamuioni kama inatosha???

Kwahiyo unataka wengine wapotee kwaajili yako? Yani wewe uwe keyboard warrior tu wengine waingie front sio?
 
Ningetamani kuona wanafanya mahojiano kwa kutumia lugha ya malkia, mwandishi wa habari inatakiwa hizi lugha mbili( English na French) ajue mojawapo katika kuongea na kuandika. Kenya wametuacha mbali kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…