[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeNilienda dar kutembea Usku naona watu hawaingii jikon baadae nashangaa boda boda anakuja na mifuko kila mtu akapewa mmoja ndani chips kavu na kipaja cha kuku na azam cola ya baridi baada ya kulala saa 9 Tumbo linaanza kuunguruma njaa nikaamka kupika uji sipendagi ujinga
Ahahhhaa dah noma aiseeWenyewe wanasema ubuyu
Kwani uongo bosi[emoji23] [emoji23] [emoji23] big bom
Wazee wa chips zege[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio walaji wazuri
Ahahaha wazee wa chips dume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishaga tia aibu sehemu kwa makusudi
Mwanaume mtu mzima unaletewa vipande vya viazi kama dawa ya ngiri, mi nilifunika vile kisha nikawasha moto nikapika mihogo chukuchuku nikafuta hafu wooote wamenitolea macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti sambusa mbili na chai mm nawaambiaga nunueni viazi nachemsha nakula Tani yangu chai vikombe viwili wenyewe viazi mpaka wakaange n kachumbali ndo wanakula alafu viwili tu mtu kashiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishaga tia aibu sehemu kwa makusudi
Mwanaume mtu mzima unaletewa vipande vya viazi kama dawa ya ngiri, mi nilifunika vile kisha nikawasha moto nikapika mihogo chukuchuku nikafuta hafu wooote wamenitolea macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
Dah ila vile vipesi,,, unajua sielewi wanamaanisha nn,,,Kwani uongo bosi
Hafu wananikera wanavokatiza barabaranu na vipensi vyao ambavyohuku tunafyatulia tofali za kuchoma.
Wao vile vipensi wanaita vipusa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kwani uongo bosi
Hafu wananikera wanavokatiza barabaranu na vipensi vyao ambavyohuku tunafyatulia tofali za kuchoma.
Juzi nilivyoenda dar nikawa mitaa ya mawasiliano akapita mkaka kavaa pensi mpaka nikammezea mateeeeKwani uongo bosi
Hafu wananikera wanavokatiza barabaranu na vipensi vyao ambavyohuku tunafyatulia tofali za kuchoma.
Walivowa wa maajabu unaweza mshika ta.ko hafu akakuomba msamahaJuzi nilivyoenda dar nikawa mitaa ya mawasiliano akapita mkaka kavaa pensi mpaka nikammezea mateeee
Dar population density 3100/sqkm. Mkoani population density 70/sqkm. Msiniite mchochezi kwa takwimu ixo. Kwa hiyo wanaume wa dar wanamtindio wa ubongo maana hawavuti natural air koz of msongamano.Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande..
Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke ishu za vibamia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kina Mario...
Kina sugar daddy na sugar mummy. Wa mikoani mupo?
Twende kazi..
Halafu watu wa wadar wenyewe Hawana miili au maumbo makubwa km wa mikoani,, vuta picha kavaa ile pensi hlf mguu umekomaa hatari full vinyoleo,, wengi wao wanaviumbo vidogo vidogoJuzi nilivyoenda dar nikawa mitaa ya mawasiliano akapita mkaka kavaa pensi mpaka nikammezea mateeee
Ngoja wamelala... Usijali kutambazuka... Saa hii wanaogopa kiza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dar population density 3100/sqkm. Mkoani population density 70/sqkm. Msiniite mchochezi kwa takwimu ixo. Kwa hiyo wanaume wa dar wanamtindio wa ubongo maana hawavuti natural air koz of msongamano.
OVA
@darubinsaid
Mm nikajua huyu kaka ni msichana auWalivowa wa maajabu unaweza mshika ta.ko hafu akakuomba msamaha
Pu.mbavu sana hiki kiumbe kipya cha wanaume wa dar
We naona unautani na Ray na idrisa[emoji1] [emoji2]Lakini wanaume wa Dar mnatia dume zima linalia kupigwa mbele ya mke na mama mkwe tena bila sababu
Mimi wa mkoa pangechimbika bila jembe
Hivi ni chips na mayonaiz tu ndio zinawafanya mnakuwa dhaifu kiasi hiki?
Kitandani mpaka mbusti na matikiti maji, supu ya pweza, mihogo na karanga
Kwa mtindo huu wake zenu ni halali yetu wa mikoani
Dume limejipodoa kama demu
Ukikutana nalo unaweza kuliambia mambo dada kumbe jidume, hizi ni dalili za ushoga
We dada taratibu basiWanaume wa dar