Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Kweli kabisa mkuu
 
Dah!!hii imebidi niijibu...We kuna sehem mikoani hata Dispensary hakuna ndugu afu eti ukikaa dar unaweza survive popote...

Watu maji ya kunywa tu masafi labda wasubiri ya mvua.

Unalala usiku unasikia sauti ya mnyama na choo ni cha nje...

Anyway kila sehem na chamgamoto zake...uwe town au mkoani..
 
Mtu wa mkoani utamkuta ana magaga miguuni mpaka akija mjini unawaza utampa shuka gani matokeo yake unamnunulia kwanza soksi

hayo meno kama shabiki wa yanga
Mimi wa mkoani ila umenichekesha wa mla mayonaizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…