Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
Wakija mkoani wafute rangi za kucha wavae nguo zisizochanwa na wanyoe nywele hatutaki misokoto ya nywele kichwani.![]()
[emoji23] [emoji23]
Hi ndio kazi yao mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakija mkoani wafute rangi za kucha wavae nguo zisizochanwa na wanyoe nywele hatutaki misokoto ya nywele kichwani.![]()
[emoji23] [emoji23]
Hi ndio kazi yao mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee wa dar wanavitukoWanaume wa Dar wakitongoza wao ndio wanaotafuna kucha.
Kweli kabisa mkuuAgizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu
Mnachokiweza ni kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.
Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko make mkija hakuna mnalofanya..
Mfano:
#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"
#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"
3. Pia mnakuja na masimu yenu kujipigapiga picha tu na KUJIRUSHA Facebook eti mko msibani wakati hamfanyi lolote
Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.
Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ukisurvive Dar unaishi kokote.
Hiyo experience yako ya unangoja gari lipite ndiyo unavuka barabara ugenini utaolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kqma naliona lilivyokaza mshipa kubishana na wamama[emoji23]
Kaskazin mkuu!!kanda maalumuHahaaaa mm hata sijasema kitu dear..
Ww wa upande upii...
[emoji23] [emoji23] mkuu hili swali limekaa kichocheziWa nyanda ya juu kusini wana nn kwani
Au huko Dar kuna pesa za tofauti na huku makwetuHawa Wanaume wanashida,,ona sasa hzo pesa zao
Jolie jolie unafanana na msichana ambae usiku mchana nata kua nae,isije siku nikaachana nae...Kaskazin mkuu!!kanda maalumu
Hahah kipaji cha kuimba umeanza lin?Jolie jolie unafanana na msichana ambae usiku mchana nata kua nae,isije siku nikaachana nae...
Mwaaaaah
Ndiyomaana wengi wana vibegi mgongoni utafikiri wanafunzi wa primary school[emoji23][emoji23]wanachanganya lipshine[emoji23]wanatembea na lipbam kweny mabegi yao ya laptop
Wanaweka lipbam,mascara,poda na kioo[emoji23][emoji23]Ndiyomaana wengi wana vibegi mgongoni utafikiri wanafunzi wa primary school
Mimi wa mkoani ila umenichekesha wa mla mayonaiziMtu wa mkoani utamkuta ana magaga miguuni mpaka akija mjini unawaza utampa shuka gani matokeo yake unamnunulia kwanza soksi
hayo meno kama shabiki wa yanga
Ahaha kichokozi kvp tena,,, funguka[emoji23] [emoji23] mkuu hili swali limekaa kichochezi
Hahaha wataandamana kwenda kunshtakiAhaha kichokozi kvp tena,,, funguka
Kaskazini watu wake wapo real sanaKaskazin mkuu!!kanda maalumu
Basi tumute mkuuHahaha wataandamana kwenda kunshtaki