hahaaaaaaa bwahhaaaaa ha..dahh mpka mate yamenipalia yaani daahhwatu wa mikoani wanakula vyakula vigumu mpaka wakienda kunya wanabeba na vilainishi ili wasichanike
hahaaaaa waweza kuhisi umepishana na beberu daahhwatu wa mikoani ukipishana nae hujui kama umepishana na mtu au mbuzi
hiyo harufu wote wananuka
Poleni sana wanawake wa mikoani mkijichubua mnakichubua uso tuWanawake wa far Wanalalamika sana vipodozi vyao vinaisha kabla ya mda kisa kushare na mwanaume wa dar
Halafu hapa kuna jamaa tunafanya nalo kazi linaniboaMwanaume wa Dar akizungumza utamsikia Jomoni ,mamboo ,mfyuu
Shilawadu ,ubuyu nipe ubuyu
Wanaume wa mkoani utamsikia Niaje wewe ,changamka mida hii
hahaaaaa aiseeeMtu wa mkoani utamkuta ana magaga miguuni mpaka akija mjini unawaza utampa shuka gani matokeo yake unamnunulia kwanza soksi
hayo meno kama shabiki wa yanga
Mkuu mimi ni wale wabaya siwezi kutokea mkoa huoWe Tanga kunani?
Nipo kwetu mkoani mku[emoji85] [emoji85] [emoji85]hahaaa ..Hivi mkuu waishi mkoani mpaka sasa
huyo wa kwenye meza sasa hahaaaaa
Huu uongo ni form 6 kabisa
Pepo tokaaaa, mwanaume na lugha za jikoni vipi tenaPovuu kijana wa dar..
Ushakunywa chibuku
Poleni sana wanawake wa mikoani mkijichubua mnakichubua uso tu
mikono ipo kama pepsi
Dar moja hyo huoni maji hayo ya Afya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkoa hiyo
aiseeee mkubwa uchi wadogo uchi ..hahaa halafu mbona ngozi zao hazina differ na huyo kiumbe waliyembeba...daaahh ila Jamaa wameku
Mna maisha magumu sana sana dar samaki mmoja 10 tena kipande mm home napata fungu la migebuka[emoji13] [emoji13]bei ya miswaki 10 unauziwa mmoja
mjini mipango dogo
Jiangalie kama wewe hutegemei mchuzi wa pweza basi kaa kulia kama hadi chuzi la pweza kaa kushotoNa sisi wa nchi za nnje tukae upande upi?