Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Mwanaume unatakiwa ule ushibe kama hivi, hata ukigegeda nyumba inatikisika kwa kishindo.
613dc6e8159072f3ec710065cd9e0ab0.jpg
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji23]
 
Wanaume wa dar utawajua tu ukiwa mikoan wanakupigia kelele tu oyaaa nipo mlimani city Mara coco beach oooh ushawahi kuvuka baharini kwa daraja,nipo juu ya flyover njoo dar nikutembeze ila washikaji tukitia timu dar wanakuzimia simu kabisa

Wakati sisi wa mikoani tunawakaribisha fresh tu tunawatembeza karibia Kijiji kizima na kila kitu tunawapatia hata wakati wanataka kurudi dar tunawapa mihogo ya ziada Tena bila ajizi wanaume wa dar wanabeba hahahah
 
Back
Top Bottom