Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

IMAGEE.jpg
downloadfile-8.jpg
 
Mtu wa mkoani utamkuta ana magaga miguuni mpaka akija mjini unawaza utampa shuka gani matokeo yake unamnunulia kwanza soksi

hayo meno kama shabiki wa yanga
Ukitaka usimsahau mwanaume wa dar anyeshewe na mvua vipodozi viondoke

Unawrza sema ana rangi nyingi kama dawa za mafua zile za chenga chenga[emoji12] [emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mimi
Halafu namwambia huo mswaki bure anasema eti huku maisha magumu.

Nikaona nilichomwambia na majibu haviendani, nikakumbuka kuna machizi ya mikoani yamekamatwa wiki iliyopita nikajua chizi huyu katoroka.
 
Back
Top Bottom