“Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

Sawa endeleeni kulalamika
 
Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira.

Vitu hivyo ni kama
Kushona,Kusuka,kupika,kupamba,kuuza Juice na vitu vingine kama hivo.
Hili somo lipo tangu hujazaliwa yaan wewe mimi ni mtoto wangu najua umezaliwa afu 2 nilikuepo kabla yako na hili somo lilikuwepo kabla hujazaliwa
 
😁😁😁 kuna jamaa kachangia kwamba kuna muda alie ishia darasa la saba anahoja kuliko hata mwenye degree nikataka nimpinge lakin nilivyosoma comment yako nikagunduwa jamaa alikuwa sahihi
 
Kabisa, huko ndo watapata kazi nzuri
 
Hakika mkuu, unakutana na kijana anakwambia hawezi fanya kazi ya nguvu kisa anayo degree.
 
Ni kaz sana mkuu sio kitu kirahisi.
 
fo shua mkuu hapa tunadanganyana tu motivational speaker ni wengi sana siku izi waambiwe wao waache kushinda tiktok waende beba zege tuone je wanaweza thubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…