Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaajiriwa huyo muhitimu wa chuo X bado anapambania ajira zenyewe za manati sasa tunampa muda atachagua kupika kashata apate 100 kwa kila kashata au kuitembeza kashata apate 100,000 kwa kila goli 1and unfortunately wengi mnaosemaga izi kauli uchwara unakuta mmeshaajiriwa serikalini, mshahara ukishatoka ndo mnaanza kubwabwaja
Wachomekee vizuri waendelee kulalamika hiyo itawasaidia sana huku umri unasonga 😅Ngumu kumesa,,,,, ! Let's say mtu amesoma amekuwa MD, hakuna kazi kitaa hata kujitolea ,,,ukimwambia kachome mahindi stand uwongo,,,,, hawez enda, !!!! Haka kausemi watanionaje utalala njaa,,,, kamekaaa kichonganishi sana nipo pale !
Motivesheno speaker uyo kwenye ubora wake, na wanaomsapoti wengi ni team mama abduli kila mwisho wa mwezi wanaenda kutega mkono ila ukiwaambia wao wafanye au waache izo ajira achilia mbali kustaafu wakauze izo kashata wanaanza kufakufa.!!Hajaajiriwa huyo muhitimu wa chuo X bado anapambania ajira zenyewe za manati sasa tunampa muda atachagua kupika kashata apate 100 kwa kila kashata au kuitembeza kashata apate 100,000 kwa kila goli 1
Kwa sababu unapata ugali wa bure nyumbani na unaishia kuomba hela ya bandoMtu umemaliza Degree af ukauze kandoro sijui juisi mtaani, no no no you're better than that.!!
za kuambiwa chekecha na zako
Wakikucheka wanakupunguzia nn kwenye maisha yako?Unaweza wafurahisha watu badae wakakucheka
Sababu nawachekesha lakini hawanilipi.Wakikucheka wanakupunguzia nn kwenye maisha yako?
🤣🤣🤣 kuna watu wamesoma hayo mamiaka yote na bado tunapiganao mishe ngumu na laifu linasonga, hawa wahitimu wanaoona aibu kuuza hata juisi tu, wanashangaza mno.Sawa endeleeni kulalamika
Kuuza karanga sio kwamba wewe utakuwa muuza karanga, ndani ya kuuza karanga unaweza kukutana na fursa zingine ndugu. Mfano mtu amesomea Business administration anasubiri kuwa afisa masoko wa jiji uku hata practice ya biashara hajui hata chembeNyie ndo mnaopelekea wadada kujiuza mtaani ilimradi tu mkono uende kinywani kwa slogan uchwara zenu.
Mtu alomaliza degree kwenda kuuza juisi mtaani sijui kushona ni akili za darasa la saba sio Bachelor, haiwezekani mtu umesota miaka 14+ shule af umalize ukauze juisi au karanga mtaani. Ni rahisi sana kutamka but coming to think of it ni utopolo mtupu.
Wewe unawafanya wao kwani, hivi ikiingiza elfu 10 kwa siku halafu mtu akakucheka nani mpumbavu kati yako wewe na yeye?Sababu nawachekesha lakini hawanilipi.
sifanyi kazi za bure mimi.
Thats out of my context for sure.Ni kweli kabisa wakae wasubiri wakakae ofisini wapigwe na kiyoyozi
Yan afisa masoko wa jiji ajipatie experience kupitia kuuza karanga mtaani, come on man.!!Kuuza karanga sio kwamba wewe utakuwa muuza karanga, ndani ya kuuza karanga unaweza kukutana na fursa zingine ndugu. Mfano mtu amesomea Business administration anasubiri kuwa afisa masoko wa jiji uku hata practice ya biashara hajui hata chembe
Hatujuani, acha mihemukoKwa sababu unapata ugali wa bure nyumbani na unaishia kuomba hela ya bando