“Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

“Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

Hii isikie kwa jirani tu ila ukweli ubaki hata amani ya moyo hakuna ni afadhali uende mbali na wanapokujua alafu jikaushe kama hujawahi kuingia hata o level alafu pambania kombe.
Fact
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Umesema kweli,. Lakini hizo juisi na karanga unaweza kuziandaa na kuziuza kisomi zaidi.

Hivi unajua Reginald Mengi alitajirika kwa kuuza maji ya kunywa?
Nani alitajirika kwa kuuza karanga au Juice?
 
Kabisa
Sijui huwa ni aibu kuwa watanionaje me na degree yangu, au sijui huwa ni ulimbukeni/uvivu.

Ukielewa
The Art of Not Giving A F*ck
hautasumbuka kuwaza watanionaje...

Wanetu wa degree amkeni bebeni zege,sukuma toroli la machungwa, fanya 1,2,3 huku ukisikilizia dili litiki kama msemavyo...
We unafanya Nini tuanzia hapo?!
 
Kwa kweli mi siwez kua graduate af niwe mziba pancha za baskel, nakumbuka kipind nakua kuna brother kitaan alikua fundi baskel af tunaambiwa ni graduate nazan mpk leo ni bado yupo na kzi iyo iyo
Mkuu kwahiyo ukae bila kazi ama uzibee pancha za baiskeli, kipi ni chaguo kwako?
 
Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje”

Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira.

Vitu hivyo ni kama
Kushona,Kusuka,kupika,kupamba,kuuza Juice na vitu vingine kama hivo.

Lakini watanionaje linawafanya wajifungie ndani na kuwa wanyonge huku wakiendelea kusubiri serikali iwasaidie.

ukweli ni kwamba hakuna anayekuangalia kila mtu yuko busy na mambo yake.

Amka na uanze kujituma sasa.
Provided huvunji sheria za nchi au mienendo ambayo kawaida binadamu anatakiwa kuenenda nayo katika maisha; kawaida watu wanatkiwa wakuone kama unavyopenda wewe wakuone, na si kama wanavyopenda uonekane kwao
 
Kabisa
Sijui huwa ni aibu kuwa watanionaje me na degree yangu, au sijui huwa ni ulimbukeni/uvivu.

Ukielewa
The Art of Not Giving A F*ck
hautasumbuka kuwaza watanionaje...

Wanetu wa degree amkeni bebeni zege,sukuma toroli la machungwa, fanya 1,2,3 huku ukisikilizia dili litiki kama msemavyo...
Amini kwamba Kiongozi
 
No one cares about you.

So you have to fight by any means...
 
Back
Top Bottom