Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge.

Wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza,

Wakaondoka, ndio wakati wanaingia main Bagamoyo Road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.

IMG-20220329-WA0060.jpg
 
Kifo bila maumivu..BATA mpaka dakika ya mwisho.. !

Wenyewe wala hawajui kama wamekufa..

Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemaje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya TUSKER baridi na KVANT?

Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..![emoji2827]
 
Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Hakuna shida kwani muujiza wa kwanza wa Yesu alitengeneza nini mkuu?
 
Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
Bro Mshana huko si zinaenda tu roho zao?!!,

Mwili unabaki na tunauzika na harufu yake ya pombe.
 
Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka... ndio wakati wanaingia main bagamoyo road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.

Safi sana raha ya pombe ni umauti au majeruhi endeleeni kunywa sana
 
Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, wakaondoka... ndio wakati wanaingia main bagamoyo road pale Lake Oil Lori la mchanga likawagonga walikua 6 mmoja ni majeruhi.
Picha hazikuruhusiwa kupigwa?
 
Wamekufa kwa raha zao.

Saa hizi wana hangover mbinguni.
RIP.
 
Kifo bila maumivu..bata mpaka dakika ya mwisho.. Wenyewe wala hawajui kama wamekufa.. Kimbembe ni huko kwa Sir God! Watasemje sasa wakifika wako tungi ndii na midomo inatoa puyapuya ya tusker baridi na kvant?[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata hukumu yao itabidi iahirishwe pombe ziwaishe kichwani..
 
Hizi ni ajali mbaya na ukichunguza ni nguvu kazi za taifa,

tunawaomba polisi wasichoke waendelee kutoa elimu za usalama barabarani na kutoa taarifa ili watu waweze kujifunza kutokana na hizi ajali mbaya!!!

Kama Mimi napita pale kila siku na sijui kabisa taarifa za hiyo ajali, Jana nimesoma taarifa za ajali Kwa wiki mbili Kwa jumla watu 44, hiyo haikutajwa Bado bodaboda, polisi wanaficha ili iweje!?

RIP ndugu waliotutoka<
 
Back
Top Bottom