Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Huyu wa kwanza kushoto sura inakuja kama kijana alikulia mwenge nyuma ya TRA kwenye zile kota.
Hayo maeneo ya Bunju beach njia ya kwenda moga kuna baa moja iko kama parking ya magari kuna mtaaalamu wa kucoma nyama hapo huwa panajaa siku za wikiendi utafikiri Loliondo sinza.
Rip wote mungu awape stahili yao peponi. Punguzeni ulevi na kusafiri na magari usiku. Wazee wa zamani huwa hawanywi mbali na nyumbani akimaloza anatembea anarudi kwake. From Bunju to Juliana ni mbali sana.
Huwa nashangaa watu wanatoka ilala wanakuja kulewa Kidimbwi, Segerea wanakuja kidimbwi nadhani kuna ushamba pia ndani yake.
Mnywaji unatakiwa mtaani kwako hapohapo dukani kwa mangi unamilza kiu yako unarudi nyumbani kwako salama.